Marekani yaridhia mabilioni
TANZANIA imetimiza masharti yote ya kupatiwa raundi ya pili ya fedha za maendeleo kutoka Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) la Marekani, hivyo itaanza kupata na kunufaika na mabilioni hayo ya fedha baada ya wajumbe wa Bodi ya MCC kupiga kura ya kuidhinisha kutolewa kwa fedha hizo chini ya Mpango wa MCC-2.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania kunufaika na uwekezaji wa mabilioni ya Marekani katika umeme
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu na Mtawala Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo ya Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), Bwana Raj Shah. (Picha na Maktaba).
*Ni moja ya nchi tatu tu za Afrika zitakazonufaika kwa sasa
*India nayo italengwa na mpango huo wa sekta binafsi
*Walioubuni wasema umasikini haufutiki bila umeme wa kutosha
Tanzania ni moja ya nchi tatu tu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa...
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Marekani yacharuka escrow;Tanzania yakosa mabilioni ya MCC, ni Dola 450 milioni
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Serikali yaridhia ujenzi wa hoteli
10 years ago
Habarileo05 May
Kamati yaridhia bajeti ya Wizara ya Habari
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, imeridhia zaidi ya Sh bilioni 29.41 zilizotengwa kwa ajili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
10 years ago
Habarileo01 Oct
CCM yaridhia matokeo kubandikwa vituoni
CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kimesema kimeridhishwa na utaratibu utakaotumiwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) wa kutangaza matokeo ya kura za urais katika vituo vya kupigia kura.
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Mabilioni Uswisi yachotwa
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Jinsi mabilioni yalivyochotwa
Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI Watanzania wakiumiza kichwa kujua watu waliofaidika na rushwa ya Sh bilioni 12 (dola za Marekani milioni 6), zilitokana na mkopo wa dola za Marekani milioni 600 (Sh trilioni 1.3), ambao Tanzania iliomba kwenye Benki ya Standard kupitia mshirika wake Stanbic Tanzania, imebainika kuwa mchakato ulianza mwaka 2011 na kushirikisha watu mbalimbali wakiwamo maofisa wa Serikali na watoto wao.
KESI ILIVYOANZA
Mwenendo wa kesi iliyotolewa hukumu Novemba 30 nchini...