Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hakuna chama kilichohoji matokeo ya NEC’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama vya siasa, vilipewa nafasi ya kuhoji matokeo waliyokuwa wakitangaza kutoka kwenye majimbo na hakuna chama kilichofanya hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NEC: Hakuna mabadiliko ya ratiba Daftari la Wapigakura

Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikisisitiza kuwa ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura itakuwa kama ilivyopangwa, Chadema imesema itachukua uamuzi mgumu endapo shughuli hiyo itachelewa na kuharibu mchakato wa Kura ya Maoni.

 

9 years ago

Habarileo

‘Hakuna mgombea urais aliyerejesha fomu NEC’

IKIWA zimebaki saa 48 kabla ya ukomo wa tarehe ya vyama vya siasa vilivyochukua fomu za kuwania urais, kurudisha fomu kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, hakuna chama ambacho mgombea wake amefanya hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haitaendesha uchaguzi wa aina yoyote, wala kuitisha kura ya maoni hadi kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura itakapokamilika.

 

9 years ago

Habarileo

Tangazeni matokeo vituoni -NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.

 

9 years ago

Michuzi

HAKUNA CHAMA CHA TANZANIA PEOPLE’S PARTY (TPP)-NYAHOZA

 Msajili  Msaidizi wa ofisi ya msajili  wa Vyama  vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuufahamisha umma kuwa chama cha siasa Tanzania Peoples Party (TPP) kilifutwa kwenye orodha ya vyama vya siasa hapa nchini na chama hicho hakipo kwenye orodha ya vyama vya siasa vilivyopo hapa nchini amesema hayo  wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi Utawala na Rasilimali watu Emmanule Kayuni,.Wanahabari...

 

9 years ago

Dewji Blog

NEC: Hakuna wizi na udanganyifu wa kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

1.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Kitaifa cha Watu Wasioona Zanzibar (ZANAB), Adili Mohamed wakati wa mkutano baina ya taasisi za watu wenye ulemavu nchini na NEC iliyofanyika leo Jumanne Septemba 29, 2015 Jijini Dar es Salaam.

2.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC), Jaji Damian Lubuva akisalimiana na Mwakilishi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Mkoa wa Dar es Salamm Mohamed Chazi ...

 

10 years ago

Mtanzania

Marando: Nitatangaza matokeo kabla ya NEC

marandoNA MWANDISHI WETU

MWANASHERIA wa Chadema, Mabere Marando, ameahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi kila kituo kitakapomaliza upigaji wa kura kabla ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Marando alitoa kauli hiyo alipotakiwa na Lowassa kulitolea ufafanuzi wa kisheria zoezi la kukusanya shahada za kura za polisi na wanajeshi, linalodaiwa kufanywa na viongozi wao.

Alisema njama zote zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)  za kutaka kuhujumu  matokeo, zikiwamo za kukusanya shahada za polisi...

 

9 years ago

Mtanzania

NURU THE LIGHT: Hakuna tatizo msanii kushabikia chama cha siasa

Nuru the LighttNA JULIET MORI, (Tudarco)
MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’, amesema haoni ubaya kwa wasanii kuweka wazi ushabiki wao kwenye vyama vya siasa kwa kuwa kila mtu ana chama anachokipenda.
Nuru aliweka wazi hilo jana baada ya kutumbuiza na wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd ikiwa ni ishara ya kukubali mchango wa kazi zinazofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kupitia magazeti yake matano ya Mtanzania, Bingwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani