Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hakuna mgombea urais aliyerejesha fomu NEC’

IKIWA zimebaki saa 48 kabla ya ukomo wa tarehe ya vyama vya siasa vilivyochukua fomu za kuwania urais, kurudisha fomu kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, hakuna chama ambacho mgombea wake amefanya hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.  Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea urais ADC achukua fomu

MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCK achukua fomu za urais

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU

Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…

 

10 years ago

Habarileo

Watatu wachukua fomu za urais NEC

WAGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka vyama vitatu vya siasa nchini, wamechukua fomu za kuwania nafasi hiyo, huku wakikirushia Chama Cha Mapinduzi (CCM) tuhuma kutokana na changamoto mbalimbali za nchi. Wagombea hao walichukua fomu hizo kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza ratiba fomu za urais

Tume ya Uchaguzi (Nec) imetangaza kuanzia kesho, Jumamosi, wagombea wa nafasi ya urais wataanza kuchukua fomu za kuwania kiti hicho katika zoezi litakalodumu hadi Agosti 21, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani