HAKUNA CHAMA CHA TANZANIA PEOPLE’S PARTY (TPP)-NYAHOZA
Msajili Msaidizi wa ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuufahamisha umma kuwa chama cha siasa Tanzania Peoples Party (TPP) kilifutwa kwenye orodha ya vyama vya siasa hapa nchini na chama hicho hakipo kwenye orodha ya vyama vya siasa vilivyopo hapa nchini amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Mkurugenzi Utawala na Rasilimali watu Emmanule Kayuni,.
Wanahabari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mPNKZ1VMfhM/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Msajili akionya Chama cha TPP
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imekionya Chama cha Tanzania Peoples (TPP) kuacha mara moja kujishughulisha na shughuli za kisiasa kwa sababu hakina usajili na kuendelea kufanya hivyo kinavunja sheria.
Akizungumza jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari jana, Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, alisema vyama vilivyosajiliwa ndivyo vinavyopaswa kuendelea na shughuli mbalimbali za kisiasa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.2.jpg)
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA TAMKO KUHUSU CHAMA CHA TPP
9 years ago
Mtanzania28 Aug
NURU THE LIGHT: Hakuna tatizo msanii kushabikia chama cha siasa
NA JULIET MORI, (Tudarco)
MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweeden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’, amesema haoni ubaya kwa wasanii kuweka wazi ushabiki wao kwenye vyama vya siasa kwa kuwa kila mtu ana chama anachokipenda.
Nuru aliweka wazi hilo jana baada ya kutumbuiza na wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd ikiwa ni ishara ya kukubali mchango wa kazi zinazofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo kupitia magazeti yake matano ya Mtanzania, Bingwa,...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OTfgCgzQ4cc/VMFF6IRr4AI/AAAAAAAArYg/Rem_av2t1hY/s72-c/sa.jpg)
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OTfgCgzQ4cc/VMFF6IRr4AI/AAAAAAAArYg/Rem_av2t1hY/s1600/sa.jpg)
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2nkx2em4eO0/VG7ltmWPtkI/AAAAAAACvDg/7NvsxG0-gJM/s72-c/New%2BPicture%2B(1).png)
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-2nkx2em4eO0/VG7ltmWPtkI/AAAAAAACvDg/7NvsxG0-gJM/s1600/New%2BPicture%2B(1).png)
Nyumba ya Maarifa (NIP) mkabala ATCL House, Ghorofa ya Kwanza, Mtaa wa Ohio, S.L.P. 79868, Dar es Salaam. Simu: +255 22 2127464, Nukushi: +255 22 2126399 Barua pepe: info@tapsea.org, Tovuti: http://www.tapsea.org
![](file:///C:%5CUsers%5CMichuzi%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image001.png)
![](file:///C:%5CUsers%5CMichuzi%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image002.png)
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA – TAPSEA ANAWAJULISHA MAKATIBU MAHSUSI WOTE TANZANIA KUWA OFISI YA TAPSEA IMEHAMIA KATIKA JENGO LA NYUMBA YA MAARIFA (NIP) MTAA WA...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-town7it9WZs/VMEjUisBRYI/AAAAAAAG_EM/U3NrHfhmslk/s72-c/s5.jpg)
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
![](http://3.bp.blogspot.com/-town7it9WZs/VMEjUisBRYI/AAAAAAAG_EM/U3NrHfhmslk/s1600/s5.jpg)
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CGWwFxEqLd7gX4643x-Hp-OMwOUHhjcXHzTlXRRH25e6Gw-*9qfgCq0jwFpkdb0KoTLoEpc6WbvawWFsPFes14X3E5u8bV23/sp4.jpg?width=750)
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha