Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haitaendesha uchaguzi wa aina yoyote, wala kuitisha kura ya maoni hadi kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura itakapokamilika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imekubali kuahirisha upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa Daftrai la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR).

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Lubuva: Hakuna Kura ya Maoni bila uandikishaji BVR kukamilika

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesisitiza kuwa Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa haitafanyika mpaka uandikishaji watu katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ukamilike.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC: Hakuna mabadiliko ya ratiba Daftari la Wapigakura

Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikisisitiza kuwa ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura itakuwa kama ilivyopangwa, Chadema imesema itachukua uamuzi mgumu endapo shughuli hiyo itachelewa na kuharibu mchakato wa Kura ya Maoni.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya Maoni isubiri Daftari la Wapigakura

Leo tumechapisha habari inayomnukuu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisema Tume yake haitaendesha uchaguzi wa aina yoyote pamoja na Kura ya Maoni hadi uboreshaji wa Daftari la Wapigakura utakapokuwa umekamilika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Hakuna kura ya maoni’

SHINIKIZO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtaka Rais Jakaya Kikwete akamilishe mchakato wa Katiba mpya kwa kufanya kura ya maoni kabla hajaondoka madarakani, limeota mbawa baada ya Halmashauri...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha daftari la wapiga kura kuelekea maoni

Mathias ChikaweSERIKALI imesema itaboresha daftari la kudumu la wapiga kura kabla ya kura ya maoni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

NEC yajipanga uboreshaji daftari la wapiga kura

“NINAPENDA niwahakikishie ninyi wanahabari na umma wa Watanzania kuwa kazi hii itafanyika kwa uangalifu mkubwa na inatarajiwa kukamilika kwa muda uliopangwa”. Hiyo ni kauli  ya   Tume ya Taifa ya Uchaguzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NEC kujadili daftari la wapiga kura leo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inakutana leo kuangalia namna ya kuanza kwa zoezi la uandikishwaji daftari la wapiga kura ambalo linatarajiwa kuanza hivi karibuni. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani