Jaji Lubuva: Hakuna Kura ya Maoni bila uandikishaji BVR kukamilika
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesisitiza kuwa Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa haitafanyika mpaka uandikishaji watu katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ukamilike.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Apr
KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai
11 years ago
Mwananchi10 Oct
NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Jaji Lubuva ajibu mapigo ya Ukawa BVR
Mauli Muyenjwa na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewataka wanasiasa waache kutumia changamoto za mfumo wa kielektroniki wa uandikishaji wapigakura (Biometric Voter Registration-BVR) ili kujipatia umaarufu wa kisiasa.
Kauli hiyo ya Jaji Lubuva imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kumuonya na kudai kamwe chama chake hakitakubaliana na vitendo vya hujuma ambavyo...
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Daftari la wapiga kura, kauli tata za Jaji Lubuva
10 years ago
Habarileo12 May
Kura za maoni zapisha uandikishaji wapigakura
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema kwa sasa suala la kura ya maoni limesitishwa kwa muda hadi pale tume hiyo itakapokamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura.
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
‘Hakuna kura ya maoni’
SHINIKIZO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtaka Rais Jakaya Kikwete akamilishe mchakato wa Katiba mpya kwa kufanya kura ya maoni kabla hajaondoka madarakani, limeota mbawa baada ya Halmashauri...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Oct
Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura
Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]
The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi20 May
KATIBA: Kura ya Maoni hakuna-Lissu