Daftari la wapiga kura, kauli tata za Jaji Lubuva
>Juzi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewaeleza Watanzania kuwa Daftari la Kudumu la Wapigakura litaboreshwa kabla ya upigaji wa Kura ya Maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWANAOSHINDWA KUKUMBUKA MAJINA YAO HUCHELEWESHA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA-JAJI KAIJAGE
Na Richard Mwaikenda
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), amesema kitendo cha baadhi wananchi kushindwa kukumbuka majina yao, kinasababisha ucheleweshwaji wa zoezi la Uboreshaji...
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC
5 years ago
MichuziWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Lubuva afichua sababu za kupungua kwa wapiga kura
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amesema kutoboreshwa kwa daftari la wapigakura si sababu pekee ya watu kushindwa kujitokeza kupiga kura.
10 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BLRr-PN7BLM/VSGIuvM4ylI/AAAAAAADSF8/fCxHtZG4-JQ/s72-c/NEC(47).jpg)
TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI
![](https://1.bp.blogspot.com/-BLRr-PN7BLM/VSGIuvM4ylI/AAAAAAADSF8/fCxHtZG4-JQ/s1600/NEC(47).jpg)
11 years ago
Mwananchi03 May
Daftari la wapiga kura kuboreshwa
>Serikali imesema itafanya maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa awamu mbili kabla ya upigwaji wa kura ya maoni kupitisha Katiba Mpya.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Jaji Lubuva: Hakuna Kura ya Maoni bila uandikishaji BVR kukamilika
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesisitiza kuwa Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa haitafanyika mpaka uandikishaji watu katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ukamilike.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TL07x06Iox0/VW-weCY7FCI/AAAAAAAHbz0/KwHYJnX9C7o/s72-c/01.png)
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Uandikishaji daftari la wapiga kura bado
Tume ya uchaguzi nchini Tanzania imesogeza mbele tarehe ya kuzinduliwa kwa zoezi la uandikishaji daftari la wapiga kura
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania