Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marando apelekwa India

marandoNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.

“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Marando taabani Muhimbili

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria, Mabere Marando amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi jioni akiwa hajitambui.

 

10 years ago

Mtanzania

Marando: Dk. Slaa anusurika kuuawa

Dk.slaaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.
Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mabere Marando, alisema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Marando, Baregu, Safari wachuana

PAZIA la uchukuaji fomu za kugombea uongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana lilifungwa kwa mnyukano wa aina yake, baada ya Prof. Abdallah Safari, Prof. Mwesiga Baregu...

 

9 years ago

Mwananchi

Afya ya Mabere Marando yaimarika

Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria Mabere Marando, imeanza kuimarika na leo alifanyiwa vipimo kadhaa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa.

 

11 years ago

GPL

WAKILI MARANDO ATEMBELEA GLOBAL

Wakili Mabere Marando akizungumza na waandishi wa habari wa Global katika chumba cha habari cha Global. Akiulizwa swali.…

 

10 years ago

Mtanzania

Marando: Nitatangaza matokeo kabla ya NEC

marandoNA MWANDISHI WETU

MWANASHERIA wa Chadema, Mabere Marando, ameahidi kutangaza matokeo ya uchaguzi kila kituo kitakapomaliza upigaji wa kura kabla ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC).

Marando alitoa kauli hiyo alipotakiwa na Lowassa kulitolea ufafanuzi wa kisheria zoezi la kukusanya shahada za kura za polisi na wanajeshi, linalodaiwa kufanywa na viongozi wao.

Alisema njama zote zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)  za kutaka kuhujumu  matokeo, zikiwamo za kukusanya shahada za polisi...

 

11 years ago

GPL

MARANDO: BABU SEYA ALIBAMBIKIWA KESI

Na Elvan Stambuli
WAKILI maarufu nchini, Mabere Nyaucho Marando amesema mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na watoto wake watatu walimbambikiwa kesi. Mabere Nyaucho Marando akiongea na waandishi wa Global Publishers (hawapo pichani). Akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers katika ofisi zao zilizopo Mwenge Bamaga mwishoni mwa wiki iliyopita, Marando alisema alipitia jalada la kesi hiyo lenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Marando, Profesa Safari watajwa Bunge la Katiba

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetaja majina ya wanachama wake wanne yaliyopelekwa wa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kanda ya ziwa wanufaika na mbegu ya marando

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukiligulu imesema majani ya viazi vitamu maarufu kama marando yanaweza kuwainua kiuchumi wakulima wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kama watayazalisha kwa wingi kwa njia ya kisasa kwa ajili ya mbegu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani