Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marando, Baregu, Safari wachuana

PAZIA la uchukuaji fomu za kugombea uongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana lilifungwa kwa mnyukano wa aina yake, baada ya Prof. Abdallah Safari, Prof. Mwesiga Baregu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Marando, Profesa Safari watajwa Bunge la Katiba

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetaja majina ya wanachama wake wanne yaliyopelekwa wa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

TheCitizen

Baregu says feels sorry for Warioba

A member of the dissolved Constitution Review Commission (CRC) Prof Mwesiga Baregu, has said the process that the government applied to dissolve the commission has left them feeling as if they are deserters.

 

11 years ago

Mwananchi

Baregu aonya kuhusu Bunge Maalumu

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu amesema, Bunge maalumu lijao la Katiba linaweza kugeuka kituko iwapo wajumbe wake wataweka mbele masilahi ya vyama vya kisiasa na kuacha misingi ya kujenga taifa moja na lenye mshikamano.

 

9 years ago

Mtanzania

Marando apelekwa India

marandoNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.

“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao,...

 

9 years ago

Mwananchi

Marando taabani Muhimbili

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria, Mabere Marando amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi jioni akiwa hajitambui.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Baregu atoa somo kwa wabunge

RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kuwashauri wabunge kuboresha rasimu ya pili ya Katiba inayokwenda kujadiliwa hivi karibuni katika Bunge la Katiba, mjini Dodoma badala ya kuijadili kwa masilahi ya vyama vyao....

 

10 years ago

Vijimambo

Baregu afichua siri nzito Tume ya Katiba

Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, ametoboa siri kuwa Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Joseph Warioba alikuwa na msimamo wa serikali mbili, kabla ya tume kuja na rasimu yenye muundo wa muungano wa serikali tatu uliotokana na maoni ya wananchi walio wengi.

Baregu alitoboa siri hiyo wakati akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum yaliyofanyika nyumbani kwake mwanzoni mwa wiki hii. Alikuwa akijibu moja ya maswali aliyoulizwa kuhusiana na namna wao (tume)...

 

10 years ago

GPL

PROFESA BAREGU: MUUNGANO UMEMFUKUZISHA MOYO CCM

NA  MWANDISHI WETU
MTAALAMU wa masuala ya siasa na Uhusiano,  Profesa Mwesiga Baregu (pichani) amesema uamuzi wa kumfukuza katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), muasisi wake, Hassan Nassor Moyo ambaye pia amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi enzi za utawala wa Mwalimu Julius Nyerere, umetokana na msimamo wake kuhusu Muungano.
Profesa Mwesiga Baregu Akizungumza na gazeti hili juzi, Profesa Baregu alisema uamuzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Afya ya Mabere Marando yaimarika

Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Mashariki ambaye pia ni mwanasheria Mabere Marando, imeanza kuimarika na leo alifanyiwa vipimo kadhaa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani