Luhende, Abdul sokoni
>Mabeki wa Yanga, David Luhende na Juma Abdul wamefungua milango kwa klabu nyingine zinazotaka kuwasajili kuwafuata sasa ili wazichezea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Mama Abdul
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-eLNypboZA24/VY4RCDo-YfI/AAAAAAADtjs/ToL2jYU2kAI/s72-c/Ally.jpg)
Hongera Abdul Ally
![](http://3.bp.blogspot.com/-eLNypboZA24/VY4RCDo-YfI/AAAAAAADtjs/ToL2jYU2kAI/s640/Ally.jpg)
Timu ya Vijimambo inakupongeza Abdul Ally kwa kukamata nondos kutoka shule ya Bushwick High School For Social Justice. Hongera sana.
11 years ago
Mwananchi22 May
Joshua, Abdul wajifunga Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ok30SVir64nNr72EkJu3Ql9hsYaoTy68FdAUBVlBwWET6evsHQ4O44OIMqLZUQytpFFVFxjyAxFxoJfyFYibXI4y5XQNSMZP/bonge.jpg)
TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJJ03nmrYCbFOwREdT0pTOCwU8LKpiWW0C9VACeOvFV-lUyGs*AP5uozNULD9tf2fQnjCEXoOpUGJ2-XWZRP-lXU/can.gif?width=650)
Cannavaro, Abdul wazichapa kavukavu Taifa
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Familia ya Kassig yamlilia Abdul-Rahman
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gLRz0qCeA0Ws0dNmnootdv5ru1RG425QFRnN1fiUjlXfEUntKeNbIvT1lr6C4myBsTdLKNqHjfICNlIVAzlMsW4LHemNX6hW/mamaABDUL.jpg)
MAMA ABDUL ACHARUKIA WEZI KWENYE MISIBA
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro
Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.
Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Kalikitimoto: Sina mpinzani wa kinanda zaidi ya Abdul
TASNIA ya muziki wa taarabu nchini inazidi kuwa moja ya ajira kutokana na vijana wengi wenye vipaji wanaume kwa wanawake kuibuka kila kukicha kuchukua nafasi za magwiji waliopo ambao wamekuwa...