Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA ABDUL ACHARUKIA WEZI KWENYE MISIBA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu ya Kigodoro, Mama Abdul ‘Kantangaze’ hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kuwacharukia wezi wa nyama misibani, hasa akina mama. Staa wa filamu ya Kigodoro, Mama Abdul ‘Kantangaze’. Mama Abdul alitoa kauli hiyo baada ya kuwaona akina mama wakidokoa nyama kwenye sahani za vyakula zilipokuwa zikipitishwa wakati wa msiba wa Mc Chimamy, eneo la Sinza jijini Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama Abdul

Mimi mwanao, nakuandikia barua hii huku machozi yakinidondoka! Mama  laiti ungekuwa unaniona, ungenionea huruma.

 

11 years ago

Bongo Movies

"Nikifa sitaki kusifiwa" - Riyama Ali, akerwa na tabia ya wasanii kuleta maigizo kwenye misiba

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatasikia.

 

 “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida...

 

10 years ago

GPL

MAMA ABDUL AWACHARUKIA WALIOSUSIA KITABU CHA KANUMBA

Na Deogratius Mongela /UWAZI
MUIGIZAJI mkongwe nchini, Salome Nonge ‘Mama Abdul’ amewacharukia mastaa wa filamu Bongo kwa kususia kujitokeza katika uzinduzi wa kitabu cha Kanumba. Muigizaji mkongwe nchini, Salome Nonge ‘Mama Abdul’. Akizungumza na Uwazi, Mama Abdul aliyasema hayo muda mfupi baada ya kuisha kwa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Landmark,...

 

9 years ago

MillardAyo

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]

The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI


Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana wakifurahia jambo kabla ya kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya WAMA. Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama Graca Machel na wajumbe wawili wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni Mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani