MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana wakifurahia jambo kabla ya kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya WAMA.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama Graca Machel na wajumbe wawili wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni Mheshimiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KWENYE MAZISHI YA MDHAMINI WA TAASISI YA WAMA MAREHEMU HULDA KIBACHA
10 years ago
VijimamboMAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA WAMA NACHINGWEA
11 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UMOJA WA VIKUNDI VYA WAMA KATIKA WILAYA YA KINONDONI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATILIANA SAINI MKATABA WA UPANUZI WA SHULE YA WAMA-NAKAYAMA NA BALOZI WA JAPAN HAPA NCHINI
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE YA KUTIMIZA MWAKA VIKUNDI VYA WAMA HUKO NACHINGWEA/AKABIDHI MADAWATI
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA TAMASHA LA ELIMU YA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA
11 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA KOREA KASKAZINI,PAMOJA NA MAMA RACHEL RUTO
.jpg)
.jpg)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Naibu Rais wa Kenya Mama Rachel Ruto kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata mjini Nairobi tarehe 26.10.2014. Mama Salma alisimama kwa muda uwanjani hapo...
11 years ago
Habarileo21 Jan
Mama Salma kufungua mkutano wa WAMA
TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa kushirikiana na Shirika la Management Development for Health (MDH) Tanzania na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, leo wanafanya Mkutano wa Kitaifa wa Kutokomeza Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.