Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"Nikifa sitaki kusifiwa" - Riyama Ali, akerwa na tabia ya wasanii kuleta maigizo kwenye misiba

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatasikia.

 

 “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RIYAMA: SIISHI MAISHA YA MAIGIZO

Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI mwenye taito ya kujiheshimu, Riyama Ally, amefunguka kuwa kinachomfanya aishi vizuri na watu ni kwa sababu haishi maisha ya kuigiza. Superstar wa filamu za kibongo Riyama Ally, Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na  ndiyo maana unaona naishi...

 

10 years ago

GPL

HIVI WASANII MTAKUWA NA UCHUMBA‭, ‬NDOA ZA MAIGIZO MPAKA LINI‭?‬

Kwenu mastaa wa tasnia mbalimbali Bongo‭, ‬habari zenu bwana‭. ‬Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa‭.‬
Mkitaka kujua afya yangu‭, ‬mimi ni mzima‭, ‬namshukuru Mungu naendelea kutimiza majukumu yangu‭, ‬likiwemo hili la kuwaandikia barua‭.‬ Nimewakumbuka leo kupitia barua‭, ‬nataka kuwaambia kwamba mimi pamoja na...

 

10 years ago

GPL

MAMA ABDUL ACHARUKIA WEZI KWENYE MISIBA

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu ya Kigodoro, Mama Abdul ‘Kantangaze’ hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kuwacharukia wezi wa nyama misibani, hasa akina mama. Staa wa filamu ya Kigodoro, Mama Abdul ‘Kantangaze’. Mama Abdul alitoa kauli hiyo baada ya kuwaona akina mama wakidokoa nyama kwenye sahani za vyakula zilipokuwa zikipitishwa wakati wa msiba wa Mc Chimamy, eneo la Sinza jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Tumeanza mwaka, tuache maigizo kwenye elimu

Mwaka 2013 ulitawaliwa na vituko katika sekta ya elimu ambayo vinatokana na tabia ya Serikali kujibu maswali magumu kwa majibu mepesi.

 

11 years ago

GPL

WASANII CLOUD, RIYAMA, MONALISA NA WASTARA WALA SHAVU UK

Wasanii Riyama, Cloud, Monalisa na Wastara wamekula shavu kwenda Uingereza kucheza filamu ambapo Global TV Online ilikuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wasanii hao wakikwea pipa kuelekea…

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Awaasa Wasanii Wanaotumika Kutetea Matumbo ya Wanasiasa, Wakati…

Habari wapendwa wangu Leo naomba kuongea na wewe MTANZANIA mwenzangu rafiki yangu unae Like na ku comment katika ukurasa wangu (kwenye mtandao wa Instagram) naamini wewe ndio balozi wangu utake nifikishia ujumbe wangu Kwa jamii inayo tuzunguka.

 Ndugu zangu kupiga kura ni haki ya kila MTANZANIA hivo shime tujitokeze kwa wingi kwa wale umri unao tu ruhusu kupiga kura angalizo usikubali kushurutishwa na mtu wa aina yeyote yule kwa kumchagua kiongozi anae mtaka yeye kwa maslahi yake, bali...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hemedy PHD Akerwa na Uadui Kwenye Sanaa

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Hemmed Suleiman  ‘Hemedy PHD’ambaye hivi karibuni atatamba  mtaani na filamu ya Fecebook Profile ameweka waz juu ya kukerwa na namna ushabiki  wa sanaa nchini unavyopelekwa kwenye uadui na sio ushindani  kam ilivyokuwa miaka michache iliyopita.

“Kiukweli kwenye sanaa tumeanza kwenda kwenye njia mbaya sana,aina hii ya ushabiki wa mtindo wa uadui itatupeleka pabaya sana..Mashabiki wa Ali Kiba , Wema sepetu na Diamond  wanapaswa kuliona mapema tatizo hili,”...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA TIBA NA MAREKEBISHO YA TABIA KWA VIJANA.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Tiba na marekebisho ya Tabia kwa Vijana wanaoacha Dawa za kulevya hapo Kidimni, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unaguja.  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr. Shajak wa pili kutoka kushoto akimpatia maelezo Balozi Seif wa kwanza kutoka kushoto jinsi ya ujenzi wa kituo cha Tiba na marekebisho ya Tabia kwa Vijana utakavyoendelea hapo Kidimni.Wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Atakaye kusifiwa

Makilla.blogspot.com Kazi umejifanyia na ujura unapewa, Wajibu uliokuwa, wala haujatimia, Ufanisi umevia, na ufanifu nafaa, Atakaye kusifiwa, wasiwasi anitia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani