Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIYAMA: SIISHI MAISHA YA MAIGIZO

Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI mwenye taito ya kujiheshimu, Riyama Ally, amefunguka kuwa kinachomfanya aishi vizuri na watu ni kwa sababu haishi maisha ya kuigiza. Superstar wa filamu za kibongo Riyama Ally, Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na  ndiyo maana unaona naishi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

"Nikifa sitaki kusifiwa" - Riyama Ali, akerwa na tabia ya wasanii kuleta maigizo kwenye misiba

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatasikia.

 

 “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida...

 

10 years ago

Bongo Movies

Adarusi: ‘Mapenzi Ya Fukara’ Imebeba Maisha Harisi, Sio Maigizo

Mwigizaji na muongozaji wa filamu za Kibongo, Adarusi Walii amesema kuwa filamu ya ‘Mapenzi ya Fukara’ ambayo itaingia sokoni mwezi huu tarehe 25  imebeba maisha harisi ya kitanzania.

Akiielezea filamu hiyo, Adaris ambaye ndiyo mwongozaji wa filamu hiyo  aliimbia BongoMovies.com  kuwa tofauti na filamu nyingi za kibongo zinazoigiza maisha ya kuigiza zaidi, filamu hiyo ya Mapenzi ya Fukara imebeba maisha harisi ya maisha ya watu wengi wa hapa Bongo.

“ Watu waisubiri watajionea wenyewe kwani...

 

9 years ago

GPL

MASOGANGE: SIISHI KWA MAKALIO YANGU

Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Imelda mtema Kumbe! Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanamsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni. Akizungumza Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Masogange alisema kuwa umbo lake amejaliwa na Mungu na halitumii kama vile wengi wanavyodhani kuwa anajinadi kwenye mitandao ili kuwakamata midume....

 

10 years ago

Habarileo

‘Msiligeuze Bunge uwanja wa maigizo’

Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark MwandosyaKAIMU Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark Mwandosya amewataka wabunge wasiligeuze Bunge kama eneo la maigizo, kutokana na kauli zao wanazozitoa wakati wanapotoa michango yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi mapya ya sanaa za maigizo yajirekebishe

Ni wazi kwamba huwezi kuzungumzia maendeleo yaliyopatikana kwenye tasnia ya filamu nchini bila kutaja Nyota Academia, Kaole Sanaa Group, Kidedea, Kidedea Original, Mambo Hayo na makundi mengine ya sanaa za maigizo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maigizo ya vita vya Liberia London

Mchezo wa kuigiza unaovutia watazamaji wengi mjini London kutokana na mada yake kuu ya vita vya Liberia

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali iache maigizo, itekeleze majukumu haya

Mambo yanayoendelea kufanyika nchini hivi sasa wakati wananchi wakitakiwa kujielekeza katika masuala muhimu yanayohusu mustakabali wa Taifa letu yanaweza kufananishwa na maigizo kama siyo sarakasi. Katika historia ya nchi yetu, hakuna wakati ambapo wananchi walijikuta wakitakiwa kutekeleza majukumu makubwa ya kitaifa kwa wakati mmoja kama ilivyo mwaka huu. Bahati nzuri wananchi wanatambua kwamba majukumu hayo ni mazito na muhimu, hivyo yanahitaji umakini mkubwa katika utekelezaji wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Tumeanza mwaka, tuache maigizo kwenye elimu

Mwaka 2013 ulitawaliwa na vituko katika sekta ya elimu ambayo vinatokana na tabia ya Serikali kujibu maswali magumu kwa majibu mepesi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tamthilia inayoonyesha nguvu katika sekta ya sanaa ya maigizo

‘Ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa studio ya kupiga picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya, huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu,’ Hii ni sehemu ya kwanza ya tamthilia hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani