Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adarusi: ‘Mapenzi Ya Fukara’ Imebeba Maisha Harisi, Sio Maigizo

Mwigizaji na muongozaji wa filamu za Kibongo, Adarusi Walii amesema kuwa filamu ya ‘Mapenzi ya Fukara’ ambayo itaingia sokoni mwezi huu tarehe 25  imebeba maisha harisi ya kitanzania.

Akiielezea filamu hiyo, Adaris ambaye ndiyo mwongozaji wa filamu hiyo  aliimbia BongoMovies.com  kuwa tofauti na filamu nyingi za kibongo zinazoigiza maisha ya kuigiza zaidi, filamu hiyo ya Mapenzi ya Fukara imebeba maisha harisi ya maisha ya watu wengi wa hapa Bongo.

“ Watu waisubiri watajionea wenyewe kwani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RIYAMA: SIISHI MAISHA YA MAIGIZO

Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI mwenye taito ya kujiheshimu, Riyama Ally, amefunguka kuwa kinachomfanya aishi vizuri na watu ni kwa sababu haishi maisha ya kuigiza. Superstar wa filamu za kibongo Riyama Ally, Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na  ndiyo maana unaona naishi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapenzi sio pesa, roho inatosha

Mapenzi yamtoa msichana wa kihindi katika familia ya kitajiri na kumpeleka kijijini kwa kijana mwafrika Kenya

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tumia muda wako kujenga maisha yako sio kubomoa ya wengine!

WAHENGA walisema, akili ni nywele na kila mtu ana zake, kwa msemo huo, mimi binafsi nakubaliana nao moja kwa moja kwa kuwa katika hali ya kawaida kila binadamu ana nywele...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi waaswa kutokufaulu kidato cha nne, sio kufeli maisha

DSC01412

Rais wa shirikisho la wachimba madini Tanzania na mgeni rasmi wa mahafali ya sita ya shule ya sekondari kata Mandewa,John Bina,akizungumza kwenye mahafali hayo. Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya Mandewa.Bahati Shagama na kushoto ni mkuu wa  wa shule hiyo, Margreth Missanga.

Na Nathaniel Limu, Singida

RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina amewataka wanafunzi ambao hawatafaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu,wasikate tamaa kwa madai kwamba yapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi

Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais fukara huyu hapa

WAKATI viongozi wakuu wa nchi mbali mbili duniani wakiishi maisha ya ukwasi wa hali ya juu kutegemeana na uchumi wa taifa husika, hali hiyo iko tofauti kwa Rais wa Uruguay,...

 

10 years ago

Habarileo

‘Msiligeuze Bunge uwanja wa maigizo’

Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark MwandosyaKAIMU Kiongozi wa Shughuli za Serikali bungeni, Profesa Mark Mwandosya amewataka wabunge wasiligeuze Bunge kama eneo la maigizo, kutokana na kauli zao wanazozitoa wakati wanapotoa michango yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani