WASANII CLOUD, RIYAMA, MONALISA NA WASTARA WALA SHAVU UK
Wasanii Riyama, Cloud, Monalisa na Wastara wamekula shavu kwenda Uingereza kucheza filamu ambapo Global TV Online ilikuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wasanii hao wakikwea pipa kuelekea…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWASTARA, CLOUD WAZURU MAKABURI YA WASANII WENZAO
11 years ago
GPLKAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC
11 years ago
GPLMASTAA WA FILAMU WALA SHAVU MAJUU
10 years ago
GPLWASTARA ALA SHAVU LA UBALOZI
10 years ago
Bongo518 Nov
Diamond, Shaa, Nameless na STL wala shavu la TV Show
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Riyama Ally Ala Shavu, Asaini Mkataba ‘Mnono’ na Kampuni Kubwa ya Filamu Nchini Kenya
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally amesaini mkataba mnono wa kucheza filamu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu nchini Kenya.
Riyama alisema kuwa amefanya mazungumzo na kampuni hiyo mjini Mombasa na tayari wameshaanza kufanya kazi na kumlipa kitita kinono cha fedha ambacho hakukitaja.
Aidha amesema kuwa wadau wengine wa filamu nchini Kenya wametangaza dau kubwa zaidi ili msanii huyo aweze kucheza tamthilia zinazorushwa kwenye Televisheni mbali mbali nchini humo.
Cloudsfm.com
11 years ago
GPLCLOUD AWACHANA WASANII WANAOLIA KINAFIKI MISIBANI