KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf1bPR6qUl1fTu*ZvhkWMvtR8w0jQ5bMWsLB8JnAA5rtJPm0ywFAVlpRfYNYsfVUCtHUQGOW4rZuXWWYfFnAPLjl/1EzekielKamwaga.jpg?width=650)
Katibu Mkuu mpya wa Simba, Ezekiel Kamwaga. ALIYEKUWA Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyeajiriwa TFF akiwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanachama na Sheria. Simba imemteua pia Mwandishi Mkongwe wa habari za michezo, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASTAA WA FILAMU WALA SHAVU MAJUU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
WASANII CLOUD, RIYAMA, MONALISA NA WASTARA WALA SHAVU UK
10 years ago
Bongo518 Nov
Diamond, Shaa, Nameless na STL wala shavu la TV Show
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Kamwaga akimbia ofisi za Simba
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Kamwaga: Hakuna fundi zaidi Simba
KATIBU Mkuu wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga, amesema hakuna nyota tegemeo zaidi ya wengine katika kikosi na ndiyo maana katika safari ya Bukoba waliwaacha baadhi yao na kuondoka nao...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Kamwaga aahidi uwanja Simba baada ya siku 100
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-1h9iMRfujWY/Xnttc8kNpfI/AAAAAAACJXo/kzaK77p61PkkDHHrMDFkELkNmug63cO3wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200325_173641_145.jpg)
ALIYEKUWA AFISA HABARI WA KLABU YA SIMBA ASHA MUHAJI AMEFARIKI DUNIA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-1h9iMRfujWY/Xnttc8kNpfI/AAAAAAACJXo/kzaK77p61PkkDHHrMDFkELkNmug63cO3wCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200325_173641_145.jpg)
Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji (pichani), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha (50) amekutwa na mauti wakati anaendelea na matibabu katika hospitali ya Hindu Mandali iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdogo wa marehemu, Habibu Kaumo alithibitisha kifo cha dada yake kuwa kilitokana na kusumbulia na TB ya ngozi iliyogundulika baada ya kufanyiwa vipimo juzi Jumanne.
Alisema kuwa marehemu mara kadhaa alikuwa akiumwa,...