Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond, Shaa, Nameless na STL wala shavu la TV Show

Diamond, Shaa, Nameless na STL wataonekana kwenye reality TV show inayotarajiwa kuwa gumzo Afrika Mashariki, kwa mujibu wa mtandao wa Ghafla wa Kenya. Haijafamika jina la kipindi hicho lakini kuna uwezekano kipindi hicho kikawa ni Maisha Superstar ambacho ni mashindano ya kusaka vipaji vya kuimba. Kipindi hicho kitaoneshwa kwenye kituo cha Maisha Magic. “This will […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC

Katibu Mkuu mpya wa Simba, Ezekiel Kamwaga. ALIYEKUWA Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyeajiriwa TFF akiwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanachama na Sheria. Simba imemteua pia Mwandishi Mkongwe wa habari za michezo, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo. ...

 

11 years ago

GPL

MASTAA WA FILAMU WALA SHAVU MAJUU

Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu akizungumza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) .
JB akielezea safari yao itakavyokuwa.
Mzee Majuto akielezea furaha aliyokuwa nayo kutokana na safari hiyo.…

 

11 years ago

GPL

WASANII CLOUD, RIYAMA, MONALISA NA WASTARA WALA SHAVU UK

Wasanii Riyama, Cloud, Monalisa na Wastara wamekula shavu kwenda Uingereza kucheza filamu ambapo Global TV Online ilikuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati wasanii hao wakikwea pipa kuelekea…

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ampa shavu msanii wa ‘Barua kwa Diamond’ Meda

Jitihada za msanii wa Iringa, Meda zimezaa matunda. Msanii huyo ambaye wimbo wake ‘Barua kwa Diamond’ umepata mapokezi mazuri, amepongezwa na Diamond Platnumz ambaye ameisikia barua hiyo. “Kiukweli simfahamu… Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae…..na sio kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!… ila ni userious na uzuri wa kazi aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta […]

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ALA SHAVU JINGINE COKE STUDIO

STAA wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz amepata shavu jingine kwenye kipindi cha Coke Studio, baada ya kuteuliwa kwa mara nyingine kurekodi kwenye kipindi hiko ambacho wasanii wengi wanandoto na mchongo huo ambao ukiupata licha mtonyo wanaolipwa na kampuni kubwa ya cocacola wasanii hao wanapata platform ya kuonyeshwa kwa performance zao katika vituo vya tv kibao za barani Africa pamoja na kuonekana kwenye You Tube Channel za Cocacola studio.Meneja wa Diamond,Babu Tale anafunguka kwanini shavu...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond aeleza alivyolipokea shavu la Swizz Beatz

Diamond Platnumz ni mtu mwenye furaha kubwa baada ya producer maarufu wa Marekani, Swizz Beatz kupost video mbili kwenye Instagram zikimuonesha yeye na binti yake, Nicole Dean wakisikiliza nyimbo zake. Diamond ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa, baada ya kugundua Swizz amepost video hiyo, aliamua kupost picha akiwa na Ne-Yo studio ili kuionyesha […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mwana FA, Diamond, Chege, Shaa, Master J wakutana Jozi, SA

12301323_1513422528955823_1362360374_n

Industry nzima ya Bongo Flava ilihamia Johannesburg, Afrika Kusini wikiendi iliyomalizika.

12301323_1513422528955823_1362360374_n
Mwana FA, Diamond, Chege, Julio na mshkaji wakiwa SA

Diamond, Mwana FA, Chege, Shaa, Master J, Julio walikutana jijini humo huku kila mmoja akionekana kwenda kutengeneza video yake.

12256591_1047233935329162_413462258_n
Chege, Sallam, Shaa, Godfather na Julio

Kuna kila dalili kuwa Diamond ameenda kushoot video yake mpya na Godfather na huenda mastaa hao wakaonekana kwenye video hiyo.

12328155_911056058971702_1099985093_n
Diamond na Chege

Shaa pia ameenda kushoot video mpya...

 

9 years ago

GPL

MULTICHOICE YAJA NA DSTV BOMBA, DIAMOND ALA SHAVU

Meneja Mipango wa DStv, Baraka Shelukindo, akifafanua jinsi huduma ya Dstv Bomba inavyofanya kazi. Balozi wa DStv Bomba, Diamond Platnumz akisistiza jambo wakati akiwataka wananchi kujanjaruka na kutumia huduma za DStv na kutozihofia kama zamani kwa kuhisi ni huduma za watu wa kipato cha juu. Mapaparazi na wadau wengine wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani