Kamwaga aahidi uwanja Simba baada ya siku 100
>Katibu Mkuu wa Simba, Ezekiel Kamwaga, amejitwisha zigo baada ya kutamka kwamba atahahakikisha timu yake inapata uwanja wa kufanyia mazoezi ndani ya siku 100.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar
10 years ago
Vijimambo12 Sep
MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.
Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Kamwaga akimbia ofisi za Simba
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Kamwaga: Hakuna fundi zaidi Simba
KATIBU Mkuu wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga, amesema hakuna nyota tegemeo zaidi ya wengine katika kikosi na ndiyo maana katika safari ya Bukoba waliwaacha baadhi yao na kuondoka nao...
11 years ago
GPL
KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC
11 years ago
Michuzi
Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0


Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
10 years ago
MichuziMchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Maestro aahidi utii Simba
Ibrahim Masoud ‘Maestro’.
Na Mwandishi wetu
Ibrahim Masoud ‘Maestro’ aliyekuwa mgombea nafasi ya ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, amesema pamoja na kushindwa katika uchaguzi wa Juni 29, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu na kutoa kila ushirikiano ikiwezekana kwa maslahi ya klabu hiyo.
Maestro aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo kwa miaka minne iliyopita chini ya uongozi wa Alhaji Ismail Aden Rage, alisema hana tatizo na kushindwa kwake akisema demokrasia imechukua...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mgambia aahidi makubwa Simba
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10