ALIYEKUWA AFISA HABARI WA KLABU YA SIMBA ASHA MUHAJI AMEFARIKI DUNIA, LEO

CCM Blog, Dar es Salaam.
Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji (pichani), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha (50) amekutwa na mauti wakati anaendelea na matibabu katika hospitali ya Hindu Mandali iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdogo wa marehemu, Habibu Kaumo alithibitisha kifo cha dada yake kuwa kilitokana na kusumbulia na TB ya ngozi iliyogundulika baada ya kufanyiwa vipimo juzi Jumanne.
Alisema kuwa marehemu mara kadhaa alikuwa akiumwa,...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO

FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa tarehe 27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe 18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...
10 years ago
Vijimambo
KIJANA SANDE ALIYEKUWA NA KILO 250, AMEFARIKI DUNIA NA KUZIKWA JANA

5 years ago
Michuzi
BURIANI MNYARIGUSU ASHA MUHAJI

10 years ago
VijimamboMWANDISHI WA HABARI WA STAR TV MBEYA FREDY BAKALEMWA AMEFARIKI DUNIA.
Mwandishi wa Habari wa Star Tv Fredy Bakalemwa enzi za uhai wake.Taarifa kamili tutawaletea hapa.
5 years ago
CCM Blog
JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR MKUSA ISSAC SEPETU AMEFARIKI DUNIA LEO

10 years ago
Vijimambo
UPDATES: MBUNGE WA VITI MAALUM MH. MARIAM SALUM MFAKI AMEFARIKI DUNIA LEO

Mbunge wa Viti maalum CCM kwa Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Salum Mfaki , Amefariki Dunia Mchana wa leo tarehe 21/07/2015. Hadi mauti yanamkuta alikuwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa Dodoma (General Hospital)
Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu Muhammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012.endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
11 years ago
GPL
KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC