Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANDISHI WA HABARI WA STAR TV MBEYA FREDY BAKALEMWA AMEFARIKI DUNIA.


Mwandishi wa Habari wa Star Tv Fredy Bakalemwa enzi za uhai wake.Taarifa kamili tutawaletea hapa.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO

MWANDISHI wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini TBC FLORENCY DYAULI (Pichani enzi za uhai wake)amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua.
FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini  Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa  tarehe   27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe   18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi   CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...

 

5 years ago

CCM Blog

ALIYEKUWA AFISA HABARI WA KLABU YA SIMBA ASHA MUHAJI AMEFARIKI DUNIA, LEO


CCM Blog, Dar es Salaam.
Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji (pichani), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha (50) amekutwa na mauti wakati anaendelea na matibabu katika hospitali ya Hindu Mandali iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdogo wa marehemu, Habibu Kaumo alithibitisha kifo cha dada yake kuwa kilitokana na kusumbulia na TB ya ngozi iliyogundulika baada ya kufanyiwa vipimo juzi Jumanne.
Alisema kuwa marehemu mara kadhaa alikuwa akiumwa,...

 

5 years ago

CCM Blog

MWANDISHI WA HABARI NA MTUNZI WA VITABU AMEAGA DUNIA

  Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia.
Prof Walibora aligongwa na gari katika barabara ya Landhies, jijini Nairobi Ijumaa na mwili wake umekuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Kenyatta (KNH).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, Walibora hakuonekana tangu Ijumaa na familia yake ilikuwa ikimtafuta kwa siku kadhaa kabla ya kubaini kwamba alikuwa amegongwa na gari.
Walibora ni mmoja wa watunzi mashuhuri wa...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzia : MWANDISHI WA HABARI ELIYA MBONEA AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd inayochapisha Magazeti ya Mtanzania,Rai, Bingwa na Dimba pamoja na Mtanzania Digital bwana Eliya Mbonea amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 6,2020 wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Arusha (Arusha Press Club), Claude Gwandu amethibitisha taarifa za kifo cha Eliya Mbonea alipozungumza na Malunde 1 blog mchana huu.

"Chama cha Waandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANDISHI WA HABARI KALULUNGA AJITOSA MBIO ZA UBUNGE MBEYA VIJIJINI‏

Mwandishi wa Habari, Gordon Kalulunga akizungumza katika viwanja vya mahubiri alipokuwa akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Mbeya vijijini.Kalulunga akitaja vipaumbele vyakeKatibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Mbeya vijijini, Siulanga akiwaasa Vijana kumuunga mkono kijana mwenzao.Kalulunga akisalimiana na mmoja wa wazee waliojitokeza kumsikiliza alipokua akitangaza niaBaadhi ya wanachama wapya wakikabidhiwa KadiVijana wakiserebukaBurudani zikiendeleaWananchi wakimsikiliza...

 

9 years ago

Michuzi

Mwandishi Mkongwe wa Habari za Michezo nchini Willie Chiwango afariki dunia.

Marehemu Willie Chiwango
Taarifa kutoka mtoto wa marehemu, Stephen Chiwango (61), zinasema mauti ya limfika baba yao jana saa 5:30 usiku katika hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam alikokua amelazwa kwa matibabu na alikua akisumbuliwa na matatizo ya kichwa.Alisema kuwa mauti yalimkuta katika hospitalini hapo akifanyiwa vipimo zaidi ili kujua tatizo la mwandishi huyo ambaye chombo chake cha mwisho kukifanyia kazi ni Tanzania Standard Newspapers (TSN) akiwa ni Mhariri...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

9 years ago

GPL

WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani