MWANDISHI WA HABARI NA MTUNZI WA VITABU AMEAGA DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SbLSspYVqnk/XpbugczVcII/AAAAAAAC3Ho/sIog_i83j5APc3885MdChcDeEqbG6xGsgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia.
Prof Walibora aligongwa na gari katika barabara ya Landhies, jijini Nairobi Ijumaa na mwili wake umekuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Kenyatta (KNH).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, Walibora hakuonekana tangu Ijumaa na familia yake ilikuwa ikimtafuta kwa siku kadhaa kabla ya kubaini kwamba alikuwa amegongwa na gari.
Walibora ni mmoja wa watunzi mashuhuri wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Zn2K31XQJTM/XotFEOR9m3I/AAAAAAALmN8/dJmeQ9zeCeInzDDVcDnMS1GcjTjWAjo-QCLcBGAsYHQ/s72-c/71409d3e-6145-4986-8495-94edea68abd3.jpg)
Tanzia : MWANDISHI WA HABARI ELIYA MBONEA AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Zn2K31XQJTM/XotFEOR9m3I/AAAAAAALmN8/dJmeQ9zeCeInzDDVcDnMS1GcjTjWAjo-QCLcBGAsYHQ/s640/71409d3e-6145-4986-8495-94edea68abd3.jpg)
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Arusha (Arusha Press Club), Claude Gwandu amethibitisha taarifa za kifo cha Eliya Mbonea alipozungumza na Malunde 1 blog mchana huu.
"Chama cha Waandishi...
10 years ago
VijimamboMWANDISHI WA HABARI WA STAR TV MBEYA FREDY BAKALEMWA AMEFARIKI DUNIA.
Mwandishi wa Habari wa Star Tv Fredy Bakalemwa enzi za uhai wake.Taarifa kamili tutawaletea hapa.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u7y6v6WMEvI/VmEvhIpZFuI/AAAAAAAAmw4/NPAePFu1KwA/s72-c/SI_20151204_091154.jpg)
Mwandishi Mkongwe wa Habari za Michezo nchini Willie Chiwango afariki dunia.
![](http://1.bp.blogspot.com/-u7y6v6WMEvI/VmEvhIpZFuI/AAAAAAAAmw4/NPAePFu1KwA/s640/SI_20151204_091154.jpg)
Taarifa kutoka mtoto wa marehemu, Stephen Chiwango (61), zinasema mauti ya limfika baba yao jana saa 5:30 usiku katika hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam alikokua amelazwa kwa matibabu na alikua akisumbuliwa na matatizo ya kichwa.Alisema kuwa mauti yalimkuta katika hospitalini hapo akifanyiwa vipimo zaidi ili kujua tatizo la mwandishi huyo ambaye chombo chake cha mwisho kukifanyia kazi ni Tanzania Standard Newspapers (TSN) akiwa ni Mhariri...
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mahojiano na Mtunzi wa Vitabu vya Utaalamu wa Mapishi Benn Haidari, kutoka Stockholm nchini Finland
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FoXM2FnK_zQ/VYKNZpH4D4I/AAAAAAAHg0U/csDQYrhM8p0/s72-c/IMG-20150618-WA0000%2B%25281%2529%2B%25281%2529.jpg)
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-FoXM2FnK_zQ/VYKNZpH4D4I/AAAAAAAHg0U/csDQYrhM8p0/s320/IMG-20150618-WA0000%2B%25281%2529%2B%25281%2529.jpg)
FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa tarehe 27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe 18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
Mwanamziki wa Lingala Aurlus Mabele ameaga dunia
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-d1dgkVMpf6A/XtqblqFFnJI/AAAAAAAAnvc/LhvPI_4x8ikPI8TAp40aMVbMULIsOTnQwCLcBGAsYHQ/s72-c/8798e1d4-4759-481b-8e44-afb5bdd0ccfa.jpg)
MAMA MKOANI KATAVI AMEAGA DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-d1dgkVMpf6A/XtqblqFFnJI/AAAAAAAAnvc/LhvPI_4x8ikPI8TAp40aMVbMULIsOTnQwCLcBGAsYHQ/s400/8798e1d4-4759-481b-8e44-afb5bdd0ccfa.jpg)
Katika nyumba hiyo yenye vyumba tisa vya wapangaji nyumba ya bwana Visent Emanuel ambapo chanzo cha habari kilichotufikia Juni 3, 2020, Mpangaji huyo alitoka nje kujiokoa na baada ya kutoa vyombo lakini...