Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamziki wa Lingala Aurlus Mabele ameaga dunia

Mwanamziki wa nyimbo za Lingala Aurlus Mabele amefariki akiwa na umri wa mika 67

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBC

Aurlus Mabele: Congolese music legend dies 'from coronavirus'

'King of soukous' Aurlus Mabele died on the same day he was taken into hospital.

 

5 years ago

CCM Blog

GONJWA LA CORONA LAZIMA UHAI WA MWANAMUZIKI AURLUS MABELE, NCHINI UFARANSA

Mwanamuziki wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele (Pichani), amefariki Dunia nchini Ufaransa akiwa na miaka 67 baada ya kuugua kiharusi kwa muda mrefu na kisha kupata maambukizi ya virusi vya Corona hivi karibuni.

Rafiki yake wa karibu Nyboma Mwandido amethibitisha Aurlus Mabele kufariki dunia, huku taarifa zikieleza kuwa nguli huyo wa miondoko ya Soukous alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa Machi 20, 2020.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mwanamuziki huyo pia alikuwa akisumbuliwa kwa ugonjwa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

MWANDISHI WA HABARI NA MTUNZI WA VITABU AMEAGA DUNIA

  Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia.
Prof Walibora aligongwa na gari katika barabara ya Landhies, jijini Nairobi Ijumaa na mwili wake umekuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Taifa ya Kenyatta (KNH).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, Walibora hakuonekana tangu Ijumaa na familia yake ilikuwa ikimtafuta kwa siku kadhaa kabla ya kubaini kwamba alikuwa amegongwa na gari.
Walibora ni mmoja wa watunzi mashuhuri wa...

 

5 years ago

CCM Blog

MAMA MKOANI KATAVI AMEAGA DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO

Wananchi wa Kijiji cha Kasekese Mkoa wa Katavi wasaidi kuzima moto uliodaiwa kuwa kuna mpangaji moja (jina tumelihifadhi) aliyekuwa akiandaa kupika chakula huku chumbani humo kukiwa na mafuta ya petroli kwa maandalizi ya kwendanayo shambani alipokuwa anatarajia kuamkia huko shambani kwake.

Katika nyumba hiyo yenye vyumba tisa vya wapangaji nyumba ya bwana Visent Emanuel ambapo chanzo cha habari kilichotufikia Juni 3, 2020, Mpangaji huyo alitoka nje kujiokoa na baada ya kutoa vyombo lakini...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamziki wa mdundo wa 'Rock and Roll' Little Richard afariki dunia

Muimbaji aliyehamasisha kwa kaisi kikubwa mdundo aina ya rock 'n' roll, mwimbaji Little Richard amefariki akiwa na umri wa miaka 87.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia

Huzuni ya kumba tasnia ya uandishi na habari Afrika Mashariki

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

Nikita Pearl Waligwa aliyeshiriki filamu iliyotolewa 2016, kuhusu mchezaji chess mwerevu wa Uganda alipatikana na uvimbe kwenye ubongo.

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA KAVASHA CLUB NA KITABU CHA JIFUNZE LINGALA MTUNZI TCHIMANGA ASSOSSA

Uzinduzi wa Dar Kavasha Club pamoja na uzinduzi wa kitabu cha kujifunza Kilingala utafanyika leo tarehe 05-Sep-2015 kuanzia saa 12 jioni katika ukumbi wa MRC Mikocheni, ukumbi ulio nyuma ya Shopperz Plaza. Uzinduzi huo utasindikizwa na burudani  kutoka kwa wana Bana Marquis bendi inayoongozwa na mwanamuziki Tshimanga Kalala Assosa, ambaye pamoja na kuwa ni kati ya wanamuziki waliokuweko katika enzi ya uanzishwaji na ukuaji wa mtindo wa Kavasha, akiwa mwanamuziki wa bendi kama Negro...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani