Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GONJWA LA CORONA LAZIMA UHAI WA MWANAMUZIKI AURLUS MABELE, NCHINI UFARANSA

Mwanamuziki wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele (Pichani), amefariki Dunia nchini Ufaransa akiwa na miaka 67 baada ya kuugua kiharusi kwa muda mrefu na kisha kupata maambukizi ya virusi vya Corona hivi karibuni.

Rafiki yake wa karibu Nyboma Mwandido amethibitisha Aurlus Mabele kufariki dunia, huku taarifa zikieleza kuwa nguli huyo wa miondoko ya Soukous alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa Machi 20, 2020.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mwanamuziki huyo pia alikuwa akisumbuliwa kwa ugonjwa wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamziki wa Lingala Aurlus Mabele ameaga dunia

Mwanamziki wa nyimbo za Lingala Aurlus Mabele amefariki akiwa na umri wa mika 67

 

5 years ago

BBC

Aurlus Mabele: Congolese music legend dies 'from coronavirus'

'King of soukous' Aurlus Mabele died on the same day he was taken into hospital.

 

10 years ago

Mwananchi

Shughuli za binadamu lazima zizingatie kuendeleza uhai

Taasisi ya Raslimali za Afrika ya Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa (UNU-INRA) yenye makao makuu nchini Ghana, wiki iliyopita, iliendesha mafunzo maalumu mjini Lusaka, Zambia, yaliyolenga kuelezea hatari kwa viumbe hai duniani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Muuguzi wa wagonjwa wa corona ambaye huenda akarejeshwa kwao kwa lazima.

Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani inasikiliza kesi ambayo huenda ikaweka maelfu ya watu hasa watoto ambao waliingizwa nchini humo kinyume cha sheria na wazazi wao katika hatari ya kurejeshwa katika nchi zao.

 

5 years ago

Michuzi

MANENO MATATU YA KIBABE YA MAGUFULI KATIKATI YA GONJWA LA VIRUSI VYA CORONA...ACHA KABISA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk. John Magufuli hakika wewe ndio Rais wangu na ndio Rais wa Watanzania wote.Hilo halina ubishi na ukiona kuna mtu anabisha ujue atakuwa na mtindio wa akili.

Kwanza mtu wa aina hiyo unamuangalia kwa kejeli halafu unamcheka kwa dharau.Potelea mbali acha akajifunze. Rais wangu Dk.Magufuli hakika Mwenyezi Mungu ametupa wewe ni zawadi kwetu Watanzania.Tutakulinda kama mboni ya jicho.Tutakutetea panapostahili kukutetea, tutakupigania pale tunapostahili...

 

10 years ago

GPL

ESHA BUHETI GONJWA GONJWA, TUMUOMBEENI

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI aliyelamba tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike katika Tamasha la Zanzibar Festival Film ‘ZIFF’ mwaka huu, Esha Salim Buheti hali yake siyo nzuri na anahitaji maombi ili apone kutokana na kusumbuliwa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi. Mwigizaji, Esha Salim Buheti akiwa hoi kitandani. Akizungumza na Ijumaa lililokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar,...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

SERIKALI imetolea ufafanuzi wa kauli iliyotolewa na  baadhi ya Wananchi  wanaodai kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii imekuwa ikithamini uhai wa wanyamapori kuliko uhai wa binadamu.
 Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema  uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai  wa wanyamapori 
Amesema licha ya  kuwa  binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...

 

5 years ago

Michuzi

MASENETA SITA KUTOKA NCHINI UFARANSA WAPO NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NANE



Na Karama Kenyunko-Michuzi Blog.

MASENETA sita kutoka nchini Ufaransa wako nchini Tanzania kwa ziara za kikazi ambapo wanatarajia kutembelea mikoa mbalimbali pamoja na visiwani Zanzibar kujionea shughuli za maendeleo zinazofanywa na wadau wanaonufaika na misaada ya Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD).


Ziara hiyo itafanyika kwenye Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha na kwamba ni matokeo ya ziara iliyofanywa Septemba mwaka jana na marafiki wa Ufaransa na Tanzania na kuazimia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani