Shughuli za binadamu lazima zizingatie kuendeleza uhai
Taasisi ya Raslimali za Afrika ya Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa (UNU-INRA) yenye makao makuu nchini Ghana, wiki iliyopita, iliendesha mafunzo maalumu mjini Lusaka, Zambia, yaliyolenga kuelezea hatari kwa viumbe hai duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai wa wanyamapori
Amesema licha ya kuwa binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...
5 years ago
CCM Blog
GONJWA LA CORONA LAZIMA UHAI WA MWANAMUZIKI AURLUS MABELE, NCHINI UFARANSA

Rafiki yake wa karibu Nyboma Mwandido amethibitisha Aurlus Mabele kufariki dunia, huku taarifa zikieleza kuwa nguli huyo wa miondoko ya Soukous alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa Machi 20, 2020.
Taarifa zaidi zimeeleza kuwa mwanamuziki huyo pia alikuwa akisumbuliwa kwa ugonjwa wa...
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Taasisi za serikali zizingatie maadili
TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kusimamia na kuzingatia maadili katika majukumu yao ya kazi kwani zimekuwa zikilalamikiwa na wananchi juu ya utendaji kazi wao. Kauli hiyo, imetolewa mwishoni mwa wiki...
10 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...
10 years ago
Michuzi27 Sep
Bajeti za nchi zizingatie ustawi wa wanawake: Kikwete

9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA



10 years ago
Dewji Blog23 Feb
‘Thamani ya uhai haikadiriki’
Wanasayansi wanakadiria kuwa inagharimu zaidi ya dola za marekani trilioni elfu sita kuiga tishu na viungo vya mwili wa binadamu. Gharama hiyo ni mara 77 ya pato la dunia. Pamoja na gharama hii yote, hakuna hakikisho kwamba jambo hili litafanikiwa. Gharama hii haijumuishi akili aliyojaaliwa binadamu. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na mwanasayansi Harold J. Morowitz wa chuo kikuu cha Yale nchini Marekani.
Nchini Tanzania kuna ongezeko kubwa la kuenea kwa magonjwa yatokanayo na mtindo...
10 years ago
Mtanzania17 Oct
Filikunjombe Alivyokatishwa uhai
*Shuhuda aeleza jinsi alivyoona helikopta ikiwaka angani kabla ya kuanguka
*Maiti zaharibika zashindwa kutambuliwa, ipo ya baba wa Jerry Silaa, Kapteni Silaa
*Yaelezwa helikopta hiyo iliwahi kumbeba Lowassa, Mbowe, Nassari alianguka nayo
Na Waandishi Wetu
ALIYEKUWA mgombea ubunge katika Jimbo la Ludewa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe, ni miongoni mwa watu wanne waliothibitika kufariki katika ajali ya helikopta iliyoanguka juzi usiku katika Pori la akiba la Selous.
Wengine...