BURIANI MNYARIGUSU ASHA MUHAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-bULvQgoFqT8/Xnuhu2mbyfI/AAAAAAALlDU/9U_QpdBefxIgshTnPlXdPs_EKobdfq0sgCLcBGAsYHQ/s72-c/asha.jpg)
Katika darasa letu la TSJ (2004-2006) Alumni Asha Muhaji (picha ya chini aliyechuchumaa mbele kulia) ulikuwa malenga wetu wa Kiswahili. Uliiweza lugha yetu adhimu kinyumenyume. Umahiri ambao ulitamba nao katika newsroom zote ulizopita. Sikumbuki jina lilianzia wapi ila kila mtu darasani aliitwa Mnyarugusu. Nalia kwani kusikia kifo chako nimemkumbuka Mnyarugusu Farida Kipingu aliyetangulia mbele ya haki muda si mrefu baada ya kuhitimu TSJ. Busara na ucheshi wako vilikufanya uwe daraja muhimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-1h9iMRfujWY/Xnttc8kNpfI/AAAAAAACJXo/kzaK77p61PkkDHHrMDFkELkNmug63cO3wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200325_173641_145.jpg)
ALIYEKUWA AFISA HABARI WA KLABU YA SIMBA ASHA MUHAJI AMEFARIKI DUNIA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-1h9iMRfujWY/Xnttc8kNpfI/AAAAAAACJXo/kzaK77p61PkkDHHrMDFkELkNmug63cO3wCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200325_173641_145.jpg)
Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji (pichani), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha (50) amekutwa na mauti wakati anaendelea na matibabu katika hospitali ya Hindu Mandali iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdogo wa marehemu, Habibu Kaumo alithibitisha kifo cha dada yake kuwa kilitokana na kusumbulia na TB ya ngozi iliyogundulika baada ya kufanyiwa vipimo juzi Jumanne.
Alisema kuwa marehemu mara kadhaa alikuwa akiumwa,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-o59ii63ZArQ/VDzu6tOZGSI/AAAAAAAGqdE/M7_t4bElC74/s72-c/unnamed.jpg)
BURIANI BURIANI PROFESA ALI MAZRUI
![](http://1.bp.blogspot.com/-o59ii63ZArQ/VDzu6tOZGSI/AAAAAAAGqdE/M7_t4bElC74/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf1bPR6qUl1fTu*ZvhkWMvtR8w0jQ5bMWsLB8JnAA5rtJPm0ywFAVlpRfYNYsfVUCtHUQGOW4rZuXWWYfFnAPLjl/1EzekielKamwaga.jpg?width=650)
KAMWAGA, MUHAJI WALA SHAVU SIMBA SC
11 years ago
MichuziBURIANI ADAM KUAMBIANA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo.
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...
11 years ago
Habarileo02 Jun
Buriani 'mtoto wa boksi'
MSIBA wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa zaidi ya miaka mitatu, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, umeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini. Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Buriani Mchungaji Mtikila
HARAKATI za haki za binadamu nchini zimekumbwa na pigo kubwa baada ya mmoja wa wapambanaji wa hak
Mwandishi Wetu
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-yD-0NdVR208/UsfUEiarTQI/AAAAAAAFEpk/4iemJyfo0OE/s640/b1.jpg?width=600)
BURIANI TONNY BARETTO