Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA SANDE ALIYEKUWA NA KILO 250, AMEFARIKI DUNIA NA KUZIKWA JANA

Kijana Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa zikifikia 250 na umri wa miaka 25 aliyekuwa eneo la Karakana katika moja ya Hoteli alipokuwa akiishi wakati akisubiri kupatikana kwa Ndege amefariki dunia usiku wa saa nne kuamkia Jumamosi Novemba 22, 2014 jijini Dar es salaam.Sande amefariki dunia wakati bado taratibu za kuona ni namna gani atakavyoweza kupatiwa ndege kwaajili ya kwenda kupatiwa matibabu nchini india zilikuwa zikifanyika miongoni mwa wanandugu.Sande...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

ALIYEKUWA AFISA HABARI WA KLABU YA SIMBA ASHA MUHAJI AMEFARIKI DUNIA, LEO


CCM Blog, Dar es Salaam.
Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji (pichani), amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha (50) amekutwa na mauti wakati anaendelea na matibabu katika hospitali ya Hindu Mandali iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdogo wa marehemu, Habibu Kaumo alithibitisha kifo cha dada yake kuwa kilitokana na kusumbulia na TB ya ngozi iliyogundulika baada ya kufanyiwa vipimo juzi Jumanne.
Alisema kuwa marehemu mara kadhaa alikuwa akiumwa,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA MARIA NYERERE AKANUSHA UVUMI ULIOENEA JANA KUWA AMEFARIKI DUNIA


Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo amezungumza na waandishi wa habari,nyumbani kwake Msasani jijini dar es salaam juu ya uvumi ulioenea nchini kuwa amefariki Dunia.

Mama Maria amewathibitishia watanzania kuwa bado yu hai na mwenye nguvu hivyo wasiwe na hofu nae. Alisema jana amepokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto zake, wake wa watoto zake wote, familia yake pamoja na watu mbalimbali ili kumjulia hali.
Amesema alipopokea taarifa hizo wala hakushtushwa...

 

9 years ago

StarTV

Taarifa juu ya Kijana aliyekutwa amefariki hotelini Jijini Arusha.

Mtu mmoja  mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa amefariki dunia katika chumba cha hoteli  huku akiwa amekatwa  baadhi ya viungo vya mwili wake.

Kijana huyo aliyetambulika  kwa jina moja la Mandela anaekadiriwa kuwa na umri kati ya  miaka kumi na tisa na thelathini anayesadikika kuwa  ni mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa katika chumba cha hoteli ya Asquare Belmont huku  baadhi ya viungo vyake vya mwili vikiwa vimekatwa,ikiwemo viganja vya mikono, sehemu za siri na...

 

10 years ago

GPL

MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO

Mwili wa marehemu Sherry ukitolewa nje ya kanisa la Mtakatifu Patriki, Morogoro baada ya kuombewa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nje ya kanisa ukiongozwa na mama wa marehemu, Flora Msiba mwenye kilemba cheupe .…

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA : BABU NJENJE AMEFARIKI DUNIA



Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii inaeleza kuwa, Mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama wana njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama  Babu Njenje amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. 
Akizungumza nasi kwa njia ya simu, Mmoja wanamuziki wa bendi hiyo, John Kitime amesema "Ni kweli Babu Njenje amefariki na sasa naelekea pale alipokuwa akiishi, Mtaa wa Mindu Upanga ambapo taratibu zitafanyika". 
Babu Njenje atakumbukwa kwa...

 

9 years ago

GPL

WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

 

11 years ago

GPL

TANZIA: GWAMAKA MWAMAKULA AMEFARIKI DUNIA

Marehemu Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari. KIJANA anayejulikana kwa jina la Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari alipokuwa akitoka kijijini Manyara kwenda mjini Kateshi usiku wa kuamkia jana. Marehemu aliyekuwa akifanya kazi katika jeshi la polisi mkoani Manyara, alipata ajali hiyo baada ya gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kugongwa na lori aina ya Fuso ambapo baada ya kupelekwa...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MUIGIZAJI MZEE MANENTO AMEFARIKI DUNIA

Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu. Baadhi ya filamu alizocheza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani