Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MARIA NYERERE AKANUSHA UVUMI ULIOENEA JANA KUWA AMEFARIKI DUNIA


Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo amezungumza na waandishi wa habari,nyumbani kwake Msasani jijini dar es salaam juu ya uvumi ulioenea nchini kuwa amefariki Dunia.

Mama Maria amewathibitishia watanzania kuwa bado yu hai na mwenye nguvu hivyo wasiwe na hofu nae. Alisema jana amepokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto zake, wake wa watoto zake wote, familia yake pamoja na watu mbalimbali ili kumjulia hali.
Amesema alipopokea taarifa hizo wala hakushtushwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA MARIA NYERERE AWAOMBA WAKE WA VIONGOZI KUENDELEA KUIOMBEA NCHI IENDELEE KUWA NA AMANI NA MAENDELEO

Mama Maria Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wana kikundi cha (NEW MELLENIUM WOMEN GROUP) ambao ni wake wa viongozi kushoto ni Mke wa Waziri wa Utalii na Maliasili Faraja Kota kulia ni Mke wa Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa Mariam Mwinyi walifika nyumbani kwake Msasani kumtembelea nakumjulia hali kutokana na mchango wake mkubwa ambao aliutoa katika kumsaidia Baba wa taifa Mwalimu Juliasi Nyerere kuwaongoza Watanzania nakudumisha amani na upendo kwa makabila...

 

9 years ago

Bongo5

Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams

Kuliibuka uvumi kuwa rapper Drake amemchumbia mcheza tennis mahiri Serena Williams ambaye inaaminika kuwa wanauhusiano licha ya kuwa wao binafsi hawajathibitisha. Baada ya taarifa hiyo kusambaa mtandaoni jana, mwakilishi wa Drake aliiambia TMZ kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. Jarida la OK liliandika story Alhamisi hii kuwa Drake alimchumbia Serena walipoenda Canada nyumbani kwao Drake, […]

 

9 years ago

Bongo5

David Beckham akanusha uvumi kuwa ana mpango wa kuigiza kama James Bond

Mwakilishi wa mchezaji mstaafu wa soka wa Uingereza, David Beckham ameiambia Daily Mail kuwa staa huyo hana mpango wowote wa kuigiza kama James Bond. Winga huyo wa zamani wa Manchester United amekanusha ripoti zilizosambaa kuwa ana mpango wa kugombea nafasi ya kuigiza kama James Bond mwakani, licha ya kuwa mashabiki wamejaribu pia kumuomba afanye hivyo. […]

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA SANDE ALIYEKUWA NA KILO 250, AMEFARIKI DUNIA NA KUZIKWA JANA

Kijana Sande Mrema aliyekuwa na tatizo la kuwa na kilo nyingi zilizokuwa zikifikia 250 na umri wa miaka 25 aliyekuwa eneo la Karakana katika moja ya Hoteli alipokuwa akiishi wakati akisubiri kupatikana kwa Ndege amefariki dunia usiku wa saa nne kuamkia Jumamosi Novemba 22, 2014 jijini Dar es salaam.Sande amefariki dunia wakati bado taratibu za kuona ni namna gani atakavyoweza kupatiwa ndege kwaajili ya kwenda kupatiwa matibabu nchini india zilikuwa zikifanyika miongoni mwa wanandugu.Sande...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI DODOMA AKANUSHA UVUMI WA KUFARIKI DUNIA JOSEPH ELIAZA CHILONGANI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA MH. JOB NDUGAI

Na. Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mnamo tarehe 28.7.2015 majira ya jioni JOSEPH ELIAZA CHILONGANI alifika katika kituo cha Polisi Kibaigwa akilalalmika kuwa wakati wakiwa kwenye kampeni za kujinadi kwa wanachama kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM alishambuliwa kwa fimbo sehemu za kichwani na tumboni na JOB YUSTOO NDUGAI (MB).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamiz wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema mtu huyo aliyejeruhiwa alipewa PF3 na...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA WA POLISI DODOMA AKANUSHA UVUMI WA KUFARIKI DUNIA JOSEPH ELIAZA CHILONGANI ANAYEDAIWA KUPIGWA NA JOBU YUSTOO NDUGAI (MB).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP akizungumza na vyombo vya habari
Na. Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mnamo tarehe 28.7.2015 majira ya jioni JOSEPH ELIAZA CHILONGANI alifika katika kituo cha Polisi Kibaigwa akilalalmika kuwa wakati wakiwa kwenye kampeni za kujinadi kwa wanachama kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM alishambuliwa kwa fimbo sehemu za kichwani na tumboni na JOBU YUSTOO NDUGAI (MB).
Kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Maria Nyerere kuandika kitabu

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema ataandika kitabu kuelezea hatua mbalimbali ambazo nchi imepitia tangu wakati wa ukoloni hadi sasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mama Maria Nyerere amsimulia Mandela

Uhusiano kati ya familia ya Mwalimu Nyerere na ile ya Mzee Nelson Mandela umekuwa ni wa karibu kiasi kwamba familia yake inajiandaa kwenda kuhudhuria mazishi ya Mandela

 

10 years ago

TheCitizen

Mama Maria Nyerere’s take on escrow scandal

>Mwalimu Nyerere’s widow, Mama Maria Nyerere, yesterday urged Parliament to exhaustively debate the Tegeta escrow account  scandal.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani