David Beckham akanusha uvumi kuwa ana mpango wa kuigiza kama James Bond
Mwakilishi wa mchezaji mstaafu wa soka wa Uingereza, David Beckham ameiambia Daily Mail kuwa staa huyo hana mpango wowote wa kuigiza kama James Bond. Winga huyo wa zamani wa Manchester United amekanusha ripoti zilizosambaa kuwa ana mpango wa kugombea nafasi ya kuigiza kama James Bond mwakani, licha ya kuwa mashabiki wamejaribu pia kumuomba afanye hivyo. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
9 years ago
Bongo514 Nov
Ushauri wa David Beckham kama Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid
![david_beckham-759](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/david_beckham-759-300x194.jpg)
David Beckham mchezaji wa zamani wa soka wa Man United, Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza, Beckham ni mchezaji ambaye alivyo ondoka Man United jezi yake namba saba ilirithiwa na Cristiano Ronaldo.
Beckham alipo kuwa kwenye interview alifunguka kuwa kama Cristiano Ronaldo atahama Real Madrid ni vizuri akirudi Man United,
“Sikuwahi kumshauri yoyote kurudi Man United, Cristiano amekuwa kama shabiki wa Man United kwani anaipenda na amefanya vizuri akiwa Old Trafford na kucheza kwa...
9 years ago
Bongo509 Oct
Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-HBTjuirbCEo/VXdHBmA1rII/AAAAAAAACAI/x9eL1r6A11Q/s72-c/david_beckham-759.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8J_ZePcW9w/VP8Rj2ho9DI/AAAAAAAHJXQ/YguQF4Kxgf8/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
MAMA MARIA NYERERE AKANUSHA UVUMI ULIOENEA JANA KUWA AMEFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8J_ZePcW9w/VP8Rj2ho9DI/AAAAAAAHJXQ/YguQF4Kxgf8/s1600/unnamed%2B(69).jpg)
Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo amezungumza na waandishi wa habari,nyumbani kwake Msasani jijini dar es salaam juu ya uvumi ulioenea nchini kuwa amefariki Dunia.
Mama Maria amewathibitishia watanzania kuwa bado yu hai na mwenye nguvu hivyo wasiwe na hofu nae. Alisema jana amepokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto zake, wake wa watoto zake wote, familia yake pamoja na watu mbalimbali ili kumjulia hali.
Amesema alipopokea taarifa hizo wala hakushtushwa...
9 years ago
Bongo505 Jan
David Beckham aonesha furaha yeke ya Zidane kuteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, huu ndo ujumbe alio andika
![1704013-36078683-2560-1440](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/1704013-36078683-2560-1440-300x194.jpg)
Baada ya klabu ya Real Madrid kutangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu.
Mchezaji mwenzake wa zamani David Beckham hakuweza kuficha kuonesha furaha yake kwa kupost picha yao ya zamani na ujumbe wenye kuoneshwa kufurahishwa na nguli huyo wa kifaransa kuchukua mikoba hiyoo.
“Unaweza kumpata mtu bora zaidi yake? mtu ambaye alikuwa bora kiwanjani na...
9 years ago
Bongo501 Oct
Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-87JeSvSjaHA/VPgko-kLyJI/AAAAAAAAB3k/Pkomn1p6gTk/s72-c/Job-Ndugai.jpg)
Ndugai akanusha uvumi wa yeye kuugua
NA MOHAMMED ISSABAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana kwenye shughuli mbalimbali, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameibuka na kusema yupo hai na ni mzima wa afya.
![](http://4.bp.blogspot.com/-87JeSvSjaHA/VPgko-kLyJI/AAAAAAAAB3k/Pkomn1p6gTk/s1600/Job-Ndugai.jpg)
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Mtoto wa David Beckham asaini kucheza Arsenal