Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA: GWAMAKA MWAMAKULA AMEFARIKI DUNIA

Marehemu Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari. KIJANA anayejulikana kwa jina la Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari alipokuwa akitoka kijijini Manyara kwenda mjini Kateshi usiku wa kuamkia jana. Marehemu aliyekuwa akifanya kazi katika jeshi la polisi mkoani Manyara, alipata ajali hiyo baada ya gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kugongwa na lori aina ya Fuso ambapo baada ya kupelekwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZIA : BABU NJENJE AMEFARIKI DUNIA



Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii inaeleza kuwa, Mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama wana njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama  Babu Njenje amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. 
Akizungumza nasi kwa njia ya simu, Mmoja wanamuziki wa bendi hiyo, John Kitime amesema "Ni kweli Babu Njenje amefariki na sasa naelekea pale alipokuwa akiishi, Mtaa wa Mindu Upanga ambapo taratibu zitafanyika". 
Babu Njenje atakumbukwa kwa...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MUIGIZAJI MZEE MANENTO AMEFARIKI DUNIA

Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu. Baadhi ya filamu alizocheza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

9 years ago

GPL

WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

 

10 years ago

Bongo Movies

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.

Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 

 

9 years ago

Eatv

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia

TANZIA: Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

 

10 years ago

Dewji Blog

Msanii wa muziki wa dansi nchini Amigolas amefariki dunia

amigo

Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘a.k.a Amigolas (pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu

MOblog inajaribu kufanya mawasiliano ya karibu kwa njia ya simu na mjomba wa marehemu Bw. Rajab Ahmed ili kujua marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi gani.

MOblog inaunga na familia ya marehemu katika kuombeleza kifo cha Khamis Kayumbu na mwenyezi...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA ZAMANI WA UKONGA DK. MAKONGORO MAHANGA AMEFARIKI DUNIA

CCM Blog, Dar es SalaamMbunge wa zamani wa Ukonga kwa tiketi ya CCM Dk. Milton Makongoro Mahanga (Pichani) ambaye baadaye alijiunga na Chadema wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita amefariki dunia.
Katibu wa Chadema Mkoa wa kichama hicho wa Ilala, Jerome Olomi amethibitisha na kusema Dk. Makongoro ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa huo wa Kichama Jijini Dar es Salaam,  amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Machi 23, 202






 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani