Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA : BABU NJENJE AMEFARIKI DUNIA



Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii inaeleza kuwa, Mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama wana njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama  Babu Njenje amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. 
Akizungumza nasi kwa njia ya simu, Mmoja wanamuziki wa bendi hiyo, John Kitime amesema "Ni kweli Babu Njenje amefariki na sasa naelekea pale alipokuwa akiishi, Mtaa wa Mindu Upanga ambapo taratibu zitafanyika". 
Babu Njenje atakumbukwa kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TANZIA: GWAMAKA MWAMAKULA AMEFARIKI DUNIA

Marehemu Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari. KIJANA anayejulikana kwa jina la Gwamaka Mwamakula amefariki dunia katika ajali ya gari alipokuwa akitoka kijijini Manyara kwenda mjini Kateshi usiku wa kuamkia jana. Marehemu aliyekuwa akifanya kazi katika jeshi la polisi mkoani Manyara, alipata ajali hiyo baada ya gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kugongwa na lori aina ya Fuso ambapo baada ya kupelekwa...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MUIGIZAJI MZEE MANENTO AMEFARIKI DUNIA

Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu. Baadhi ya filamu alizocheza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mfahamu msii nguli wa Tanzania Babu Njenje

Babu Njenje alipata umaarufu mkubwa katika bendi yake ya The Kilimanjaro Band

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii wa serengeti fiesta Tanga wamjulia hali Babu njenje, Tanga, leo

 Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu  Njenje (kushoto), akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya. Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha ya Serengeti fiesta ambapo kwa mjini hapo linafanyika katika Uwanja wa Mkwakwani. Mkurugenzi wa  Uzalishaji  na Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba (kushoto) na Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney wakiteta na  Masanii...

 

5 years ago

CCM Blog

PUMZIKA KWA AMANI BABU NJENJE, TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA KWA SAUTI YAKO MARIDHAWA

Mmoja wa wanamuziki mahiri nchini na mwenye sauti yenye mvuto, Mabrouk Hamis Omar, maarufu Babu Njenje(pichani), ametangulia mbele ya haki.

Babu Njenje amefariki leo alfajiri baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza mwili.

Hadi mauti yalipomchukua, Babu Njenje alikuwa mwimbaji wa bendi ya The Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa John Kitime, ambaye ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo, msiba upo mtaa wa Mindu, Upanga, ambako Babu Njenje alikuwa akiishi.

Babu Njenje...

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

9 years ago

GPL

WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

 

10 years ago

Bongo Movies

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.

Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani