PUMZIKA KWA AMANI BABU NJENJE, TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA KWA SAUTI YAKO MARIDHAWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZNpqg_PZaR8/XsuIEVR0uOI/AAAAAAACLmk/ef5o1ClnYTMd_ryqy51q9pvw6QjI6KWWgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200525_115223.jpg)
Mmoja wa wanamuziki mahiri nchini na mwenye sauti yenye mvuto, Mabrouk Hamis Omar, maarufu Babu Njenje(pichani), ametangulia mbele ya haki.
Babu Njenje amefariki leo alfajiri baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza mwili.
Hadi mauti yalipomchukua, Babu Njenje alikuwa mwimbaji wa bendi ya The Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa John Kitime, ambaye ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo, msiba upo mtaa wa Mindu, Upanga, ambako Babu Njenje alikuwa akiishi.
Babu Njenje...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba
MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YbJ8-Xw-yYI/XnfNulbaxoI/AAAAAAALkwI/Ex3odRZd76MjNfQN96-Hg5gGnXJP6vZtACLcBGAsYHQ/s72-c/84191976_10157688399949473_5207830129107009536_n.jpg)
TANZIA: PUMZIKA KWA AMANI YA BWANA DADA YETU MPENDWA MONICA NYAKITERI ( NTARE).
![](https://1.bp.blogspot.com/-YbJ8-Xw-yYI/XnfNulbaxoI/AAAAAAALkwI/Ex3odRZd76MjNfQN96-Hg5gGnXJP6vZtACLcBGAsYHQ/s640/84191976_10157688399949473_5207830129107009536_n.jpg)
Habarini wapendwa na poleni na mlipuko wa tauni.Wengi wetu tunamfahamu ndugu yetu, rafiki na dada yetu Monika Kerenge (Monica Nyakiteri) au Monica Ntare) na kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa ametutoka. Ameaga dunia akiwa nyumbani Tanzania.Hapa UINGEREZA msiba uko nyumbani kwake Sydnham 24B Tree down Road London SE26 5QH.
Kutokana na mlipuko wa tauni sasa hivi mikusanyiko hairuhusiwi ila mnakaribishwa kuja kwa uangalifu sana., Kwa niaba ya familia ningependa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-83KYd1SYlJI/XsoIHRbRlAI/AAAAAAALraI/rsxTY1qQkfk8cywehjrsx3RWW0C8Ua8RwCLcBGAsYHQ/s72-c/NJE.jpg)
TANZIA : BABU NJENJE AMEFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-83KYd1SYlJI/XsoIHRbRlAI/AAAAAAALraI/rsxTY1qQkfk8cywehjrsx3RWW0C8Ua8RwCLcBGAsYHQ/s640/NJE.jpg)
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii inaeleza kuwa, Mwanamuziki mkongwe wa Bendi ya Kilimanjaro maarufu kama wana njenje, Mabrouk Hamis Omar almaarufu kama Babu Njenje amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Akizungumza nasi kwa njia ya simu, Mmoja wanamuziki wa bendi hiyo, John Kitime amesema "Ni kweli Babu Njenje amefariki na sasa naelekea pale alipokuwa akiishi, Mtaa wa Mindu Upanga ambapo taratibu zitafanyika".
Babu Njenje atakumbukwa kwa...
5 years ago
BBCSwahili25 May
Mfahamu msii nguli wa Tanzania Babu Njenje
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aNZ9EZ3f4*xjqCKAvRyzWs9c19I0kYaFWuBDn7fkiCkpZWzOmaym6OJzSmIlb3Q*bD3v6TDnAUJE4CCG4uVr-FHsO7*8FuKB/FRONTAMANI.gif?width=750)
10 years ago
Michuzi09 Nov
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA:TUTAENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WATAKAOKATISHA MASOMO KWA WATOTO WA KIKE