Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda

Jumatano hii iliyopita, mmoja kati ya wanenguaji waliokuwa nguzo ya Bendi ya The African Stars Band, hasa katika safu ya unenguaji, Aisha Mohamed Mbegu `Madinda’ alifariki dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mnenguaji Aisha Madinda afariki dunia

Aliyekuwa mnenguaji mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo katika Hospitali ya Mwananyamala, jiji Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: mnenguaji aisha madinda afariki dunia leo

ALIYEKUWA mnenguaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi nchini Aisha Mohammed Mbegu maarufu kama Aisha Madinda amefariki dunia leonyumbani kwao Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amethibitisha kuwa Aisha amefariki dunia na alifia nyumbani kwao sababu ambazo bado hazijafahamika. Akizunumza kwa masikitiko Mbutu alisema kwamba mwili wa merehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.“Hapa nilipo natetemeka kwa msiba huu sababu marehemu...

 

10 years ago

Bongo Movies

TANZIA:Aliyekuwa mnenguaji wa muziki wa Bendi, Aisha Madinda Afariki Dunia Hii Leo

Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar

Aisha madinda ambae jina lake halisi ni Aisha Mbegu alizaliwa mwaka 1980 katika  Hospitali ya Ocean Road jijini Dar na alipata umaarufu mkuwa kwa uhodari wake wakucheza muziki alipokuwa kwenye  Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’.

Vile vile Aisha aliwahi kuingia kwenye tasinia hii ya filamu na kuweza kuigiza filamu akiwana watu...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.…

 

5 years ago

CCM Blog

PUMZIKA KWA AMANI BABU NJENJE, TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA KWA SAUTI YAKO MARIDHAWA

Mmoja wa wanamuziki mahiri nchini na mwenye sauti yenye mvuto, Mabrouk Hamis Omar, maarufu Babu Njenje(pichani), ametangulia mbele ya haki.

Babu Njenje amefariki leo alfajiri baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza mwili.

Hadi mauti yalipomchukua, Babu Njenje alikuwa mwimbaji wa bendi ya The Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa John Kitime, ambaye ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo, msiba upo mtaa wa Mindu, Upanga, ambako Babu Njenje alikuwa akiishi.

Babu Njenje...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: PUMZIKA KWA AMANI YA BWANA DADA YETU MPENDWA MONICA NYAKITERI ( NTARE).

Na Maina Angi'ela Owino 
Habarini wapendwa na poleni na mlipuko wa tauni.Wengi wetu tunamfahamu ndugu yetu, rafiki na dada yetu Monika Kerenge (Monica Nyakiteri) au Monica Ntare) na kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa ametutoka. Ameaga dunia akiwa nyumbani Tanzania.Hapa UINGEREZA msiba uko nyumbani kwake Sydnham 24B Tree down Road London SE26 5QH.
Kutokana na mlipuko wa tauni sasa hivi mikusanyiko hairuhusiwi ila mnakaribishwa kuja kwa uangalifu sana., Kwa niaba ya familia ningependa...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.…

 

10 years ago

CloudsFM

Lala salama Aisha Madinda

Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani