TANZIA: PUMZIKA KWA AMANI YA BWANA DADA YETU MPENDWA MONICA NYAKITERI ( NTARE).
Na Maina Angi'ela Owino
Habarini wapendwa na poleni na mlipuko wa tauni.Wengi wetu tunamfahamu ndugu yetu, rafiki na dada yetu Monika Kerenge (Monica Nyakiteri) au Monica Ntare) na kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa ametutoka. Ameaga dunia akiwa nyumbani Tanzania.Hapa UINGEREZA msiba uko nyumbani kwake Sydnham 24B Tree down Road London SE26 5QH.
Kutokana na mlipuko wa tauni sasa hivi mikusanyiko hairuhusiwi ila mnakaribishwa kuja kwa uangalifu sana., Kwa niaba ya familia ningependa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda
5 years ago
CCM BlogPUMZIKA KWA AMANI BABU NJENJE, TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA KWA SAUTI YAKO MARIDHAWA
Babu Njenje amefariki leo alfajiri baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza mwili.
Hadi mauti yalipomchukua, Babu Njenje alikuwa mwimbaji wa bendi ya The Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa John Kitime, ambaye ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo, msiba upo mtaa wa Mindu, Upanga, ambako Babu Njenje alikuwa akiishi.
Babu Njenje...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba
MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia) na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).
Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...
10 years ago
MichuziMWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
9 years ago
MichuziPUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA
9 years ago
Michuzidada yetu Joyce aliyepata ajali Mbeya ahamishiwa hospitali, kupelekwa Dar es salaam Alhamisi kwa matibabu
Ndugu Wasamaria wema na wadau,Napenda kutumia fursa hii kukufahamisheni kuwa hatimaye dada yetu Joyce Mwambepo ametoka nyumbani yupo hospitali ya rufaa Mbeya chini ya uangalizi wa Dr. Mboma akifanyiwa mazoezi ya viungo kabla ya kuelekea hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa vipimo na matibabu. Baada ya michango mbalimbali ambayo wasamaria wema wamekuwa wakichangia toka ndani na nje ya nchi, hatimaye Dada Joyce na mimi tutasafiri pamoja Alhamisi ijayo...
9 years ago
VijimamboIBADA YA MAOMBI YA MPENDWA MAMA YETU DMV JUMAPILI
Familia za Ketangenyi na Musika zinawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya maombi ya kumuombeamarehemu mpendwa Mama yetu, Dada yetu, Bibi yetuBettisheba Pole Ketang’enyialiyefariki asubuhi ya tarehe 30 September, 2015.
Misa itafanyika siku ya Jumapili, tarehe 4 October, 2015 kuanzia saa mbili asubuhi (8:00 am) hadi saa tano kasorobo (10:45 am.)
Location: Francis Collins Funeral Home500 University Blvd, WestSilver Spring, MD...
9 years ago
Vijimambo04 Oct