Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gari liko sokoni

Gari aina ya Toyota Rav4,liko sokoni kwa gharama nafuu kabisa au waweza sema ni karibu na bure.Gari iko kwenye hali nzuri sana. Gia ni automatic, mafuta inayotumia ni petrol, imetembea 128,000 km. 
kwa atakayeihitaji,asasiliwane na ndugu kwenye Mawasiliano haya 0683 206230 Linavyoonekana kwa nyuma na ubavu wa kushoto.ndani.Mbele.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Basi la Stars liko sokoni

Bais la Taifa Stars 
James Karinge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo wa kanda kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa Kampuni ya Uwakili ya BM wameyapinga maombi hayo ya TFF kwa madai kuwa hayana msingi pamoja na maelezo ya kuwa utekelezaji wa deni hilo umekamilika.
KAMPUNI ya Punchlines Tanzania Limited imewasilisha hati kinzani Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ikipinga maombi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ya kuomba ifanye mabadiliko ya kuliondoa basi lao...

 

10 years ago

GPL

GARI LA KANUMBA LADODA SOKONI

Andrew Carlos na Gladness Mallya
ZIKIWA zimepita siku chache tangu kuadhimishwa miaka mitatu kwa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, inadaiwa kuwa gari alilokuwa akilitembelea aina ya Toyota Lexus lenye namba za usajili T750 AER limezidi kudoda sokoni, Risasi Jumamosi linakujuza. Gari alilokuwa akilitembelea marehemu Steven Kanumba aina ya Toyota Lexus. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa gari hilo...

 

11 years ago

GPL

GARI LA GURUMO LAINGIA SOKONI

Stori: Shakoor Jongo IKIWA takriban ni miezi minne kasoro tangu gwiji wa muziki Muhidin Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ aiage dunia, gari aina ya Toyota Fun Cargo alilopewa kama zawadi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdu ‘Diamond’ limedaiwa kupigwa bei. Gari alilokabidhiwa aliyekuwa gwiji wa muziki Muhidin Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ ,  aina ya Toyota Fun Cargo. Chanzo makini kilicho...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari la Kanumba Lashindwa Kuuzika Sokoni

Ikiwa ni miaka mitatu sasa imepita tangu aliekuwa staa wa Bongo  Movies, marehemu Steven Kanumba, inadaiwa kuwa gari alilokuwa akilitembelea aina ya Toyota Lexus lenye namba za usajili T750 AER limezidi kudoda sokoni.

Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi kimepenyeza habari kuwa gari hilo lililonunuliwa na marehemu kwa shilingi milioni 78, linapatikana maeneo ya Msasani, jijini Dar kwenye jengo la mikopo ambapo linauzwa kwa bei chee ya shilingi milioni 18 hadi 14.

“Nilikuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza, tatizo liko wapi?

Kwa mataifa mengine, sikukuu za mwisho wa mwaka huwa ni za kutafakari yaliyotendeka ndani ya mwaka mzima na kujipanga upya kwa unaofuata. Sina uhakika kama sisi Tanzania tunafanya hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Taifa liko hatarini

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, ameonya taifa liko katika hatari ya kusambaratika ikiwa watanzania watadanganyika na kuwachagua viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao wanatumia nguvu kubwa ya fedha na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Jeshi lasema liko ngangari

Jeshi la Nigeria limesema kuwa litaendelea na harakati zake dhidi ya kundi la Boko Haram licha ya kundi hilo kuwaua wanajeshi na raia mwishoni mwa wiki

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani