Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basi la Stars liko sokoni

Bais la Taifa Stars 
James Karinge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni hiyo wa kanda kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa Kampuni ya Uwakili ya BM wameyapinga maombi hayo ya TFF kwa madai kuwa hayana msingi pamoja na maelezo ya kuwa utekelezaji wa deni hilo umekamilika.
KAMPUNI ya Punchlines Tanzania Limited imewasilisha hati kinzani Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ikipinga maombi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ya kuomba ifanye mabadiliko ya kuliondoa basi lao...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Gari liko sokoni

Gari aina ya Toyota Rav4,liko sokoni kwa gharama nafuu kabisa au waweza sema ni karibu na bure.Gari iko kwenye hali nzuri sana. Gia ni automatic, mafuta inayotumia ni petrol, imetembea 128,000 km. 
kwa atakayeihitaji,asasiliwane na ndugu kwenye Mawasiliano haya 0683 206230 Linavyoonekana kwa nyuma na ubavu wa kushoto.ndani.Mbele.

 

10 years ago

Vijimambo

Hakuna asiye na bahati ya kupendwa, Basi tatizo liko wapi


Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha.Aliniandikia ujumbe mrefu sana juu ya kile kinachomsumbua kwenye maisha yake ya kimapenzi na akaniomba nimsaidie ili aweze kuwa na amani.Ujumbe wake huo ndiyo ulionisukuma kuandika makala haya kuelekea kwenye ile siku muhimu sana kwa wapendanao ya Valentine’s Day.Aliandika hivi: “Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nimekaa kwa muda mrefu bila kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Taifa liko hatarini

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, ameonya taifa liko katika hatari ya kusambaratika ikiwa watanzania watadanganyika na kuwachagua viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao wanatumia nguvu kubwa ya fedha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza, tatizo liko wapi?

Kwa mataifa mengine, sikukuu za mwisho wa mwaka huwa ni za kutafakari yaliyotendeka ndani ya mwaka mzima na kujipanga upya kwa unaofuata. Sina uhakika kama sisi Tanzania tunafanya hivyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Jeshi lasema liko ngangari

Jeshi la Nigeria limesema kuwa litaendelea na harakati zake dhidi ya kundi la Boko Haram licha ya kundi hilo kuwaua wanajeshi na raia mwishoni mwa wiki

 

10 years ago

Mtanzania

Maria Nyerere: Taifa liko njia panda

Maria NyerereNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema malumbano yaliyoibuka kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya linalifanya taifa kuwa njia panda.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam jana, Mama Maria alisema suala hilo ni zito kwa sababu iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba ilikuwa na mikakati mizuri lakini baadaye Bunge Maalumu la Katiba likaja na yake.
Alisema yote hayo...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

10 years ago

GPL

KAMA HUNA BAHATI YA KUPENDWA, TATIZO LIKO WAPI?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha. Aliniandikia ujumbe mrefu sana juu ya kile kinachomsumbua kwenye maisha yake ya kimapenzi na akaniomba nimsaidie ili aweze kuwa na amani.Ujumbe wake huo ndiyo ulionisukuma kuandika makala haya kuelekea kwenye ile siku muhimu sana kwa wapendanao ya Valentine’s Day. Aliandika hivi:...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani