Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maria Nyerere: Taifa liko njia panda

Maria NyerereNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amesema malumbano yaliyoibuka kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya linalifanya taifa kuwa njia panda.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam jana, Mama Maria alisema suala hilo ni zito kwa sababu iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba ilikuwa na mikakati mizuri lakini baadaye Bunge Maalumu la Katiba likaja na yake.
Alisema yote hayo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AWAKABIDHI MARAIS WASTAAFU TAUSI 25 KILA MMOJA NA MAMA MARIA NYERERE KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO KATIKA TAIFA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu wa...

 

11 years ago

GPL

ZITTO NJIA PANDA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL) MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi itakapokuwa imesikilizwa. Kwa uamuzi huo, Zitto sasa atabaki kuwa mwanachama kwa nguvu ya mahakama...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM njia panda

IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi njia panda

saada mkuyaFredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO njia panda

WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba njia panda CUF

Sintofahamu imeendelea kukigubika Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kauli ya mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kuwaacha wafuasi wa chama hicho katika giza nene juu ya hatima yake kisiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ya umoja Z’bar njia panda

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema kitendo cha wajumbe wa CUF kususa shughuli za Baraza la Wawakilishi, kimeiweka njia panda hatma ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kwa kuwa ni kinyume na makubaliano ya muundo huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani na EU njia panda kuhusu Ukraine

Marekani imejipata taabani baada ya mazungumzo ya wanadiplomasia wake wakuu kubainisha kuwa inapendelea upinzani Ukraine

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2022 njia panda

Rais wa Uefa, Michel Platini amesema fainali za kombe la dunia 2022 nchini Qatar lazima zichezwe kipindi cha majira ya baridi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani