INTRODUCING New Video: Q-Chilla ~ For You
Q-Chilla baada ya kuwa kimya kwa Muda Mrefu na Pia mambo yake Kubadilika, Sasa amerudi tena katika Muziki na Safarii hii ameamua kufanya kazi yaani Muziki Biashara, Akizungumza wakati wa kupreview video yake Mpya ya For U amesema kuwa kwa sasa amerudi rasmi katika Muziki na Amebadilika Tofauti na Mwanzoni alivyokuwa pia ametoa Shukran Nyingi sana kwa QS ambaye anasimamia kazi zake za kimuziki kwa sasa, Video ya For You imefenywa na Director Adam Juma Nchini Afrika ya Kusini, Kwa Upande wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziINTRODUCING NEW CLUB BANGER UWAPENDE SANA BY Q Chief aka Q Chilla
Yesterday (18th May, 2020) the Bongo Flava Legend was celebrating his birthday and decided to bless us with this club banger "Uwapende sana".
Produced by Daxo Chali & Marco Chali. Arranged by Daxo Chali mastering by Marco Chali.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog05 Jun
New Video: Q-Chilla ~ For You (Mdogo Mdogo)
Q-Chilla baada ya kuwa kimya kwa Muda Mrefu na Pia mambo yake Kubadilika, Sasa amerudi tena katika Muziki na Safarii hii ameamua kufanya kazi yaani Muziki Biashara, Akizungumza wakati wa kupreview video yake Mpya ya For U amesema kuwa kwa sasa amerudi rasmi katika Muziki na Amebadilika Tofauti na Mwanzoni alivyokuwa pia ametoa Shukran Nyingi sana kwa QS ambaye anasimamia kazi zake za kimuziki kwa sasa,
Video ya For You imefenywa na Director Adam Juma Nchini Afrika ya Kusini, Kwa Upande wa...
10 years ago
Michuzi08 Sep
10 years ago
GPLQ-CHILLA KUZINDUA MBILI KWA MPIGO
11 years ago
Michuzi21 May
9 years ago
BBC5 years ago
Michuzi