Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Q-CHILLA KUZINDUA MBILI KWA MPIGO

Abubakar Katwila 'Q-Chilla' (kulia) akizungumza kuhusiana na ujio wake mpya katika ukumbi wa Idara ya habari (Maelezo) jijini Dar. Msanii wa zamani wa muziki wa Bongo fleva, MB DOG, Mkurugenzi wa QS, Joseph Mhonda ambaye ndiye meneja wao akielezea jambo kwa wanahabari ( hawapo pichani) pamoja na Abubakar Katwila (Q-Chilla).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mirror kuzindua video mbili kwa mpigo November 30

Msanii ambaye anasimamiwa na kampuni ya Endless Fame Films ya Wema Sepetu, Mirror anatarajia kuchia video mbili mpya kwa mpigo baada ya kutoonekana kwenye runinga na video mpya toka mwaka huu umeanza. Kupitia Instagram Endlessfame wameandika: “Novemba 30 ndani ya New Maisha Club Dar es salaam @mirror26 kutoka @endlessfame atadondosha Video viwili Vipyaaaaa me nawe […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar Modern kuzindua mbili kwa mpigo Valentine’s Day

BAADA ya kundi la Dar Modern Taarab kuwatambulisha waimbaji wapya watano jana, linatarajia kufanya uzinduzi mpya wa albamu mbili kwa mpigo katika Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

BONNY MWAITEGE KUZINDUA ALBAMU TATU KWA MPIGO AGOSTI 2 JIJINI DAR

MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama  amewaita Maaskofu na viongozi wengine wa dini katika uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji nguli Bonny Mwaitege zinazotarajia kuzinduliwa Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa  mujibu  wa  Msama  ambaye  ni  mdhamini  wa  uzinduzi  huo, Maaskofu watafikisha  ujumbe wa neno la Mungu  kwa karibu zaidi baada ya waimbaji kumaliza kazi yao jukwaani.
Msama alisema uzinduzi huo unatarajia kusindikizwa na waimbaji mbalimbali wa...

 

10 years ago

Bongo5

G-Nako kuachia ngoma mbili kwa mpigo Jumanne ijayo

Rapper wa kampuni ya Weusi, G-Nako anatarajia kuachia ngoma mbili kwa mpigo Jumanne ijayo. Awali ya hapo rapper huyo aliwahi kuiambia Bongo5 kuwa yupo kwenye njia panda kuamua wimbo wake mpya wa kuachia kwakuwa amerekodi nyimbo nyingi na kali. Kutokana na hali hiyo, rapper huyo wa Arusha alisema anafikiria kutumia watu wengine wamsaidie kuamua wimbo […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alikiba kuzindua mbili Uwanja wa Taifa

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba ‘Alikiba’, anatarajia kulitumia Tamasha la Matumaini 2014 kuzindua rasmi nyimbo zake mbili zinazotikisa anga la Bongo Flava kwa sasa za ‘Mwana’...

 

9 years ago

Mtanzania

Amini kutoka na tano kwa mpigo

Amini2NA HERIETH FAUSTINE

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Amini Mwinyimkuu, amesema alikuwa kimya kwa kuwa alitaka atoe wimbo mpya baada ya kukamilisha nyimbo tano kwa mpigo.

“Nilitaka niwe na nyimbo zangu tano mkononi ndio nianze kuachia wimbo mmoja mmoja, kwa sababu nataka kuandaa muziki mzuri ili ukitoka ufanye vizuri katika soko la muziki la ndani na nje.

 

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,ulaji wa zaidi ya ndizi 6 kwa mpigo unauwa?

Mara nyingine husemekana kwamba ulaji wa ndizi nyingi kupita kiasi kwa mpigo unaweza kuhataraisha maisha yako.

 

11 years ago

GPL

MADENTI WATANO WALAWITIWA KWA MPIGO NA MWENZAO!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro. Dunia imekwisha! Jeshi la polisi mkoani hapa linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti wenzake watano kwa mpigo. Watoto waliolawitiwa na mwenzao mwenye miaka 14. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri katika Mtaa wa Twanga Pepeta Kijiji cha Fulwe-Dindili Kata ya Mikese Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani hapa ambapo dogo huyo...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAZINDUA CHANELI NNE ZA BURUDANI KWA MPIGO!

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli mpya ambazo ni IROKO PLAY, IROKO PLUS, AMC SERIES na STARTIMES ZONE. Kushoto akifuatilia kwa makini uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam ni msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni hiyo, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta. ...akiendelea kufafanua.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani