STAR TIMES YAZINDUA CHANELI NNE ZA BURUDANI KWA MPIGO!
![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vANZh8yiCxJNA8j7FFB2HclaY2CyUveSlfxGpoZXAYBK9gzCpvWD6NAhGlL8IdSD-ossEtdeLLDHfqv8F*fpoQz/1.jpg?width=750)
Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli mpya ambazo ni IROKO PLAY, IROKO PLUS, AMC SERIES na STARTIMES ZONE. Kushoto akifuatilia kwa makini uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam ni msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni hiyo, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta. ...akiendelea kufafanua.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Televisheni ya Star Times yazindua kipindi cha Mashariki Max
Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm akitoa hotuba ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times katika nchi za Afrika Mashariki wakati wa hafla ya uzinduzi huo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao akimkaribisha Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm wakati wa hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/115.jpg)
STAR TIMES YAJIVUNIA MABORESHO YA HUDUMA ZAKE KWA WATEJA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2EiJk1WcVBIomoq5f76uBYcbK6J6qOorK9r1CmcF35Iyv2dceGIBb9VvUsJ7*xCOmdZKVklMA2ozlk34ZRCGsP/1.jpg?width=650)
STAR TIMES YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MSHINDI DROO YA PILI
9 years ago
MichuziSTAR TIMES WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fYxyfSW4Q14/Vg0381cfkiI/AAAAAAAH8J8/gcqNvo6stkA/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
DSTV YAZINDUA CHANELI MPYA MUZIKI ,FILAM PAMOJA NA MAHOJIANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-fYxyfSW4Q14/Vg0381cfkiI/AAAAAAAH8J8/gcqNvo6stkA/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-T994qvKFgI0/Vg039GtukrI/AAAAAAAH8KA/I61poIWpSVg/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
9 years ago
Habarileo23 Sep
Star Times yadhamini FDL
KAMPUNI ya Star Times imeingia mkataba wa miaka mitatu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kudhamini Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wenye thamani ya Sh milioni 900.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Hongera Star Times kudhamini ligi, ila...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6uCJNOvsO5A/VH2fvtiJhdI/AAAAAAAG0v4/7kQGqPI1QU8/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
UHURU MARATHON 2014 YADHAMINIWA NA STAR TIMES
![](http://4.bp.blogspot.com/-6uCJNOvsO5A/VH2fvtiJhdI/AAAAAAAG0v4/7kQGqPI1QU8/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
5 years ago
Euronews14 Feb
A dying star 1,000 times bigger than the sun could soon explode