Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Star Times yadhamini FDL

KAMPUNI ya Star Times imeingia mkataba wa miaka mitatu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kudhamini Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wenye thamani ya Sh milioni 900.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

STAR TV YAINGIA MKATABA NA TFF KUONYESHA Ligi Daraja la Kwanza (FDL)

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)Akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo, Rais wa TFF Jamal Malinzi aliishukuru kampuni ya Sahara Media Group kwa kuamua kuwekeza katika mpira wa miguu nchini kwa kuamua kuonyesha ligi daraja la kwanza.Malinzi ameviomba vilabu vya FDL kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

UHURU MARATHON 2014 YADHAMINIWA NA STAR TIMES

Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam wakati akielezea juu ya udhamini wa kampuni ya startimes kudhamini kwa kutoa matangazo na vifaa vyenye Zaidi ya shilingi milioni nne na laki tano.Kushoto kwake ni meneja huduma kwa wateja wa startimes Jackson Ngowi

 

9 years ago

Mwananchi

Hongera Star Times kudhamini ligi, ila...

Ni dhahiri kuwa hatimaye Ligi Daraja la Kwanza iliyoanza wiki moja iliyopita imetimiza ndoto yake kwa kupata msukumo wa kipekee ambao haujapata kuonekana baada ya kudhaminiwa na Kampuni ya Star Times.

 

5 years ago

Euronews

A dying star 1,000 times bigger than the sun could soon explode

A dying star 1,000 times bigger than the sun could soon explode  EuronewsA dying star one thousand times bigger than the sun could soon explode  euronews (in English)View Full coverage on Google News

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAZINDUA CHANELI NNE ZA BURUDANI KWA MPIGO!

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa chaneli mpya ambazo ni IROKO PLAY, IROKO PLUS, AMC SERIES na STARTIMES ZONE. Kushoto akifuatilia kwa makini uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam ni msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni hiyo, Nurdin Bilal au maarufu kama Shetta. ...akiendelea kufafanua.…
...

 

9 years ago

GPL

STAR TIMES YAJIVUNIA MABORESHO YA HUDUMA ZAKE KWA WATEJA

Meneja wa Star Times Tanzania Bw,Gaspa Ngowi akizungumza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo (pichani) Balozi wa Star Time Shafii Dauda,akizungumza jambo. Shafii Dauda,akisisitiza jambo…

 

9 years ago

Dewji Blog

Televisheni ya Star Times yazindua kipindi cha Mashariki Max

01

Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm akitoa hotuba ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa kinarushwa na Televisheni ya Star Times katika nchi za Afrika Mashariki wakati wa hafla ya uzinduzi huo  jijini Dar es salaam.

02

Mkurugenzi Mtendaji wa Star Times Group nchini Langtang Liao akimkaribisha Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm wakati wa hafla ya uzinduzi wa kipindi cha Mashariki Max kitakachokuwa...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YAKABIDHI PIKIPIKI KWA MSHINDI DROO YA PILI

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa droo ya pili ya mwezi wa Aprili, Bi Janemerry Suraphel, mkazi wa Dar es Salaam, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea. Makamu wa...

 

10 years ago

GPL

STAR TIMES YATEMBELEA NA KUTOA MSAADA WANAFUNZI UHURU MCHANGANYIKO‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Mshana (kushoto). Kampuni hiyo ilitembelea na kutoa msaada wa vyakula kwa wanafunzi wa shule hiyo ambayo ina kitengo kinachofundisha wanafunzi wenye ulemavu. Msanii wa Bongo Flava na balozi mpya wa kampuni ya StarTimes Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani