IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar imfunge mdomo Kafulila
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-DF8HjKFnjSI/VbuCoI7q1DI/AAAAAAABS9k/E3SGZLvSFqo/s72-c/davidKAFULILA.jpg)
MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM IMETUPILIA MBALI KESI YA IPTL DHIDI YA DAVID KAFULILA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DF8HjKFnjSI/VbuCoI7q1DI/AAAAAAABS9k/E3SGZLvSFqo/s640/davidKAFULILA.jpg)
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Kafulila afungua kesi Mahakama Kuu Tabora
Na Murugwa Thomas, Tabora
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kupitia Chama cha NCCR – Mageuzi, amefungua kesi Mahakam Kuu Kanda ya Tabora kupinga ushindi wa Hasna Mwillima wa Chama Cha Mapindunzi (CCM), aliyetangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Kafulila amewasilisha pingamizi hilo jana kupitia kwa wakili wake, Daniel Lumenyela, huku akiwa ameambatanisha nakala za fomu za matokeo ya kura ya vituo vyote 382 vya jimbo hilo ambazo...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Msajili Mahakama Kuu ashtushwa na kesi IPTL
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mahakama Kuu yasitisha kesi ya IPTL kuuza hisa
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imesimamisha usikilizwaji wa shauri la kupinga kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuuza hisa zake kwa kampuni ya Piper Link Investment Limited, ambayo kwa sasa ni Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP).
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rNPZS60ZMWQ/VcJ3rdKOB2I/AAAAAAAHubQ/ANEbD-UyiTo/s72-c/j18%2B%25281%2529.jpg)
JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-rNPZS60ZMWQ/VcJ3rdKOB2I/AAAAAAAHubQ/ANEbD-UyiTo/s640/j18%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-P_nbHOx71RE/U8uveA2rnlI/AAAAAAAF4BQ/KCAAOIqHFw0/s72-c/download+(1).jpg)
IPTL VS KAFULILA
![](http://2.bp.blogspot.com/-P_nbHOx71RE/U8uveA2rnlI/AAAAAAAF4BQ/KCAAOIqHFw0/s1600/download+(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-a0paUbdf0yk/U8uveFNKgKI/AAAAAAAF4BU/-q7UbMw2l8Y/s1600/download+(2).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Kafulila aivimbia IPTL
SIKU moja baada ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kueleza kuwa imemfungulia kesi ya madai ya sh bilioni 310 Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Kafulila akoleza moto wa IPTL
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amewasha upya moto bungeni kuhusu kashfa ya uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT)....
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Kafulila: IPTL ilinipeleka Israel kuhiji
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila, amesema kuwa baada ya kuibua kashfa ya sakata la kuchota fedha zaidi ya sh Bilioni 300, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti ya Escrow, alilazimika kwenda Israel...