Irene Paul :Kidole Chako Kiendapo Kwa Mwenzio Vitatu Vimekugeukia!!
Mrembo na mwigizaji wa sinema za hapa bongo, Irene Paul ukipenda muita “Angeline Jolie” wa bongo, leo siku ya jumapili amewatolea ujimbe mzito wale wote wanaopenda kuzungumzia mapungufu ya watu huku wakisahau pia wao wanamapungufu ambayo watu hawaya semi.
“Unapojikuta unawekeza mda mwingi kuchunguza mapungufu ya mtu jiulize una mangapi ambayo unayo na watu hawayaongelei??kidole chako kiendapo kwa mwenzio vitatu vimekugeukia”.
Aliyasema haya na kusisitiza huo ni mtazamo wake tu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Uko tayari kutoa kiungo chako kwa mwenzio?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWfoVn9l8wDxi1tYmNnP7NYlzcys0VTAqY*9D-II*2FDqeNh1F7rnHnDxyPL2iDjRBTh1Xb5Pc1p4rhFJFBsA6XA/10.jpg)
CHA MPENZI WAKO CHAKO, CHAKO CHAKO, HOW COME?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZB02TdaGP1L3UZB4emPhuEJuDCemZTfbKFcgCaVmKLgfWV*u42wIESaX0HY6O6gHgsjRS5Lm-vlEiB8tljyg4C/AUNTY.jpg?width=650)
IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Irene Paul Awavaa Mastaa Wanaogombana!
Mshangao! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewavaa baadhi ya mastaa wenzake wanaolumbana na kutenganishwa na siasa bila kujua kuna maisha baada ya uchaguzi wa Oktoba 25.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Irene alisema kuwa haoni kama ni vyema wasanii kugawanyika na kutengana kimakundi kwa sababu ya siasa ambalo ni jambo la mpito ambapo baadaye kila mtu atarudi kwenye maisha yake ya kila siku.
“Nawaomba wasanii wasijisahau kabisa kuwa maisha yao ya kila siku yatarudi hivyo wajiepushe na...
9 years ago
GPLIRENE PAUL AWAVAA MASTAA WANAOGOMBANA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qqY0JxmaXvegs5McYOa0Lw53aO-rSpAfVbabrqdhy2LScvudu3PKFFN8hHMgvm9q7A8xKkQEGETHHiaFw3jmtz/irene.jpg)
IRENE PAUL ATESWA NA BIFU LA KUAMBIANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXXT6G9psM8SUOAApEn5CD01LPWvwvcU7MksAp7HxDD*kSdoSuMRdapTZnXpKbtTDBHsD4H7WQGDKxspzqeGKlp8/iren.jpg?width=650)
IRENE PAUL, DAVINA NUSU WACHAPANE!
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani
Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi kwa mashabiki wa filamu kwa kutambua kazi anazozifanya na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.
Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.
Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...