Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHA MPENZI WAKO CHAKO, CHAKO CHAKO, HOW COME?

Ni wiki nyingine tafauti kabisa na wiki zilizopita tunakutana tena kupitia safu hii namba moja kwa kuandika makala ‘hot’ za mapenzi. Ni safu ambayo inaweza kuyafanya maisha yako ya kimapenzi yakawa ya furaha endapo tu utayafanyia kazi yale ambayo huwa nayaandika. Kikubwa unachotakiwa kujua ni kwamba, ukikosea kidogo tu kwenye mapenzi huwezi kuwa na furaha kwenye maisha yako. Unaweza kwa na pesa nyingi benki, mali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIPINDI CHAKO CHA MADA MOTTO


o watch madamotto every day show go to www.madamottotvshow.comfacebook: madamottotvshowtwitter: madamottotvshow

 

11 years ago

Michuzi

KILA LAKHERI BI REGINA MWALEKWA NDANI YA KITUO CHAKO KIPYA CHA KAZI BBC

Wakiwa wenye Nyuso za Furaha.Watangazaji mahiri wa Radio na Televisheni,Bi.Regina Mwalekwa aliyekuwa mtangazaji wa Radio One na baadae akahamia Clouds FM/TV na sasa amejiunga na Shirika la Utangazaji la BBC akiwa na mtangazaji mwenzake kutoka kituo cha televisheni cha ITV/Radio One Bi.Fatma Almas Nyangasa,kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii ndani ya viwanja vya maonyesho ya Saba saba yanayoendelea hivi sasa jijini Dar.Bi Regina Mwalekwa kwa sasa sauti yake itakuwa ikisikika rasmi...

 

10 years ago

Mwananchi

Unawezaje kutambua kipaji chako?-1

Baada ya kuandika kwa wiki mbili mfululizo kuhusu umuhimu wa kutambua kipaji chako ili ufanikiwe maishani, nimepokea maoni ya wasomaji wengi wakitaka nijikite kuelezea namna gani binadamu anaweza kutambua kipaji chake.

 

10 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Kipaji chako ni ajira namba moja

TUNU muhimu za mafanikio ambazo Mungu amewekeza ndani ya kila mtu ni vipawa/talanta. Kwa bahati mbaya na pengine kwa kutojua umuhimu wa vipawa, watu wengi hawatilii maanani vipaji walivyonavyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uko tayari kutoa kiungo chako kwa mwenzio?

Ni nadra sana katika mataifa ya kiafrika kusikia mtu anaahidi kuchangia kiungo chake cha mwili endapo ataaga dunia , Kwanini ?.

 

9 years ago

GPL

SHOGA; KIGUU NA NJIA CHAKO KITAMKIMBIZA MUMEO NYUMBANI!

Shoga, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika hiki kilinge chetu tunachokitumia kupeana darasa la namna ya kuishi na familia zetu hususan waume zetu ambao tulikubali kwa ihari yetu kuungana nao na kuwa mwili mmoja. Hata hivyo, kabla sijasonga mbele kuhusu nilichopanga kuzungumza nawe, niwasisitize mpatapo nafasi msiache kwenda kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni katika kipindi hiki cha lala salama kusikiliza sera za...

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Paul :Kidole Chako Kiendapo Kwa Mwenzio Vitatu Vimekugeukia!!

Mrembo na mwigizaji wa sinema za hapa bongo, Irene Paul ukipenda muita “Angeline Jolie” wa bongo, leo siku ya jumapili amewatolea ujimbe mzito wale wote wanaopenda kuzungumzia mapungufu ya watu huku wakisahau pia wao wanamapungufu ambayo watu hawaya semi.

“Unapojikuta unawekeza mda mwingi kuchunguza mapungufu ya mtu jiulize una mangapi ambayo unayo na watu hawayaongelei??kidole chako kiendapo kwa mwenzio vitatu vimekugeukia”.

Aliyasema haya na kusisitiza huo ni mtazamo wake tu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani