ISHA, TUNDA WAFUNGUA MWAKA KWA KISHINDO DAR LIVE

QUEEN of the Best Melody, Isha Mashauzi pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Tunda Man waliufungua mwaka 2015 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kwa kishindo. Wakali wa Bongo Fleva, Tunda Man na Chid Benz wakiwapagawisha mashabiki. Shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake kwa kundi la Mashauzi Classic likiongozwa na Isha lilianza kufungua pazia la burudani kwa kupiga ngoma zao zote kali ambazo zinabamba kama vile Mama Nipe...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Msaga Sumu afunga mwaka Dar Live kwa kishindo
Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .
Mashabiki wakimshangilia Msaga Sumu (hayupo katika picha).
Mashabiki akiendelea na shoo yake.
Akiendelea na Makamuzi yake mida ya Saa 5: 50 usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)
10 years ago
GPLTUNDA MAN AKIINGIA DAR LIVE TAYARI KWA SHOO
10 years ago
GPL
MWANA DAR LIVE CONCERT: ALI KIBA, MSAGA SUMU, ISHA ‘LIVE’ NA WAANDISHI LEO
10 years ago
GPLISHA MASHAUZI ANOGESHA USIKU WA MWANA DAR LIVE
11 years ago
GPL
DAR LIVE, VODACOM ZACHENGUA MASHABIKI KWA KISHINDO CHA MITIKISIKO YA PWANI
10 years ago
GPL
MWANA DAR LIVE CONCERT, ALI KIBA, ISHA WATAMBIANA
10 years ago
GPLMALAIKA BAND WAFUNGUA PAZIA LA BURUDANI VALENTINE DAY, DAR LIVE
10 years ago
GPLTUNDA MAN, CHID BENZ WAFUNIKA DAR LIVE
11 years ago
Michuzi04 Feb
REDIO 5 WAFUNGUA MWAKA KWA TAMASHA LA BURUDANI.





