Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REDIO 5 WAFUNGUA MWAKA KWA TAMASHA LA BURUDANI.

DSCF2600Timu ya AJTC ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kunyakuwa ushindi katika tamasha la fungua mwaka na redio 5 lililoandaliwa na kampuni ya Tan media jijini Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid. DSCF2564Timu ya Highridge ikipokea zawadi ya saa kutoka kwa mtangazaji Semio Sonyo baada ya kushika nafasi ya pili. DSCF2557Mashabiki wakiangalia burudani kutoka kwa wasanii wa Arusha DSCF2553Muonekano wa wachezaji wakiwa uwanjani. DSCF2627
DSCF2629Jambo squard wakiwapa burudani wakazi wa Arusha.Picha zaidi bofya hapa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISHA, TUNDA WAFUNGUA MWAKA KWA KISHINDO DAR LIVE

QUEEN of the Best Melody, Isha Mashauzi pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Tunda Man waliufungua mwaka 2015 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kwa kishindo. Wakali wa Bongo Fleva, Tunda Man na Chid Benz wakiwapagawisha mashabiki. Shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake kwa kundi la Mashauzi Classic likiongozwa na Isha lilianza kufungua pazia la burudani kwa kupiga ngoma zao zote kali ambazo zinabamba kama vile Mama Nipe...

 

10 years ago

GPL

MALAIKA BAND WAFUNGUA PAZIA LA BURUDANI VALENTINE DAY, DAR LIVE

Waimbaji wa Malaika Band wakifanya makamuzi jukwaani. Umati wa mashabiki wa burudani wakicheza sambamba na bendi ya Malaika Music katika Usiku wa…

 

11 years ago

GPL

CHUO CHA USAFIRISHAJI KUADHIMISHA VIPAJI KWA TAMASHA LA BURUDANI

CHUO cha Usafirishaji kilichopo jijini Dar es Salaam, kinatarajiwa kuadhimisha siku ya vipaji chuoni hapo ambapo mambo mbalimbali yatafanyika kusindikiza siku hiyo maalum chuoni hapo. Baadhi ya matukio yatakayofanyika ni pamoja na michezo kama soka, netiboli na kuvuta kamba. Vile vile burudani mbalimbali kama fashion show, muziki na vikundi vya kudansi vitakuwepo. Tamasha hilo litakuwa na matukio mchanganyiko ya kielimu, michezo...

 

10 years ago

Michuzi

BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP

4Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea  kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa kuzikutanisha timu za Burudani Fc ya Temeke mikoroshini dhidi ya Kiluvya Utd kutoka mkoani PwaniMchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana baada ya dakika 90 ikabidi changamoto ya mikwaju ya penati itumike kumpata mshindi na timu ya Burudani ikafanikiwa kupata mikwaju minne dhidi ya miwili ya kiluvya,golikipa Abraham Abdallah wa Burudani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAUTI ZA BUSARA: Ni zaidi ya Tamasha la burudani

TAMASHA la Sauti za Busara ni miongoni mwa machache ambayo yamejenga historia kutokana na kuutangaza na kuuendeleza muziki wa Tanzania nje ya mipaka yake, ambako mwaka huu litafanyika kuanzia Februari...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 BURUDANI MWANZO MWISHO

HAPATOSHI! Mastaa wanaokimbiza katika anga la muziki wa Bongo Fleva, wanatarajia kuchuana vilivyo kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini katika Uwanja wa Taifa, Agosti 8, mwaka huu. Diva wa muziki kutoka Nigeria ambaye anatamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade. Akizungumza na Risasi Vibes, mratibu wa tamasha hilo ambalo linafanyika kwa awamu  tatu mwaka huu, Luqman Maloto aliianika listi ya mastaa hao huku akiahidi kuwa...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA, BURUDANI MWANZO MWISHO

Mwanamuziki Fid Q akizikonga nyoyo za mashabiki wa Mwanza waliohudhuria tamasha la ujasiriamali jana. Mheshimiwa Sugu akitoa burudani kwa wakazi wa…

 

10 years ago

Mtanzania

Tamasha jipya la burudani la KiliFest kuzinduliwa Dar

rubyNA FESTO POLEA

TAMASHA jipya la burudani la KiliFest linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 26, katika viwanja vya Leaders Club, ambapo idadi kubwa ya wasanii wa Bongo Fleva nchini watatumbuiza.

Tamasha hilo linakuwa la kwanza kwa Tanzania na litaanzia jijini Dar es Salaam, lakini kwa miaka ijayo litazunguka na mikoa mingine.

Meneja  wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, alisema lengo la tamasha hilo ni kuwaleta Watanzania pamoja kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani