IT Bridge yawafikia wanafunzi 60,000
Kamishina wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eusella Bhalalusesa akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome kuzindua maonesho ya Tehama yanayoendelea katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Na mwandishi wetu
JUMLA ya wanafunzi 60,000 katika shule 150 nchini wamepitiwa na mafunzo ya programu ya Bridge IT yenye lengo la kuongeza ubora wa elimu kwa kutumia teknolojia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j52o*TELl6FZbnEcdZKg49HrwEeyPUz45DrMExLv8zm*lbowjJHjgmospATDeaUJ8NFqTOQrnjZA7qqwxyMwTYBzkvRS8lOJ/FDQ4copy.jpg?width=650)
SHANGWE YA COKE STUDIO YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA MAKONGO
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Wanafunzi 2,000 wagoma kurudia
WANAFUNZI 2,110 kati ya 3,933 waliotakiwa kurudia kidato cha pili mwaka 2013 baada ya kufeli mtihani wa taifa mwaka jana, wameingia mitini mkoani Pwani. Idadi hiyo ya wanafunzi kutoka katika...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Compassion kusomesha wanafunzi 70,000
SHIRIKA la kimataifa la Compassion linatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni 41 hadi Juni mwaka huu katika kutekeleza miradi yake ikiwemo kuwasomesha wanafunzi 70,087 katika shule na vyuo mbalimbali ndani...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sAWZJ43mYVs/VT-IzZQrMCI/AAAAAAAC3vE/gDoPm330rFg/s72-c/1.jpg)
Wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
![](http://1.bp.blogspot.com/-sAWZJ43mYVs/VT-IzZQrMCI/AAAAAAAC3vE/gDoPm330rFg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HrrR8gA1-Vg/VT-IzYdEf6I/AAAAAAAC3vA/UxJbMlApEsk/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-M_fxxxOXrPw/VT-IybXW_XI/AAAAAAAC3u8/luvEotO-yT8/s1600/3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wanafunzi 9,000 Karagwe hawajui kusoma
ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wilayani Karagwe hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Hali hiyo imebainika kutokana na utafiti uliofanywa na halmashauri ya wilaya hiyo mwaka jana. Ofisa Elimu Shule za Msingi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3Pkw7WXI8llNfZFRs0f2cPQkz6TKnYOEdyh1vfn9h0C2hw3y922IhSHri9DHMRlmn7RYbKy3G1Z4R7y5LtdsDE6/1.jpg?width=650)
ZAIDI YA WANAFUNZI 60,000 WA UDOM KUFURAHIA AIRTEL WI-FI
11 years ago
Habarileo20 Jun
Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo
IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wanafunzi 7,000 wapata vyeti vya kuzaliwa
ZAIDI ya wafunzi 7,400 wa shule za msingi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na Tanzania Daima jana wakati wa maonyesho ya Wiki ya...