Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHANGWE YA COKE STUDIO YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA MAKONGO‏

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Fid Q akitoa burudani kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo jijini Dar es Salaam, wakati wa tamasha la Coke Studio lililandaliwa na Kampuni ya Coca-cola. Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Fid Q akiwa amemshikia kipaza sauti mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo jijini Dar es Salaam, Veisi Kakobo wakatia alipokuwa akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa Tamasha la Coke Studio...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni

Coke mwanza 8

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Sunrise ya mjini Mwanza Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye tamasha la Coke Studio lililofanyika shuleni hapo.

coke mwanza 5

Wanafunzi wa shule za sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba wakati wa tamasha la Coke studio.

coke mwanza 9

coke mwanza 12

Wanafunzi wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiburudika na kinywaji cha Coca-Cola.

coke arusha 1

Wanafunzi waliofika kwenye matamasha wakigawiwa kinywaji.

Coke mwanza 2

Wanafunzi wakipozi na kinywaji chao cha...

 

9 years ago

Michuzi

SHANGWE YA COKE STUDIO YAENDELEA MASHULENI

Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Sunrise ya mjini Mwanza Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye tamasha la Coke Studio lililofanyika shuleni hapo.
Wanafunzi wa shule za sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba wakati wa tamasha la Coke studio.Wanafunzi wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiburudika na kinywaji cha Coca-Cola
- Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji vyao  vya kuimba Msimu wa Coke studio mwaka huu ambao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shangwe za Coke Studio zaendelea kuleta burudani kwenye jamii

COKE STUDIO PICHA 3

Mwanamuziki Fid Q akitoa burudani katika moja ya tamasha  la Coke Studio.

PICHA COKE 1

Mwanamuziki Ali Kiba na Victoria Kimani wakiwa katika onyesho la Coke Studio.

COKE STUDIO PICHA 5

Wasanii wa muziki wakitoa burudani katika moja ya tamasha la Coke Studio mkoani Mwanza.

COKE STUDIO PICHA 2

Wanafunzi kuanzia shule za msingi nchini hadi vyuo vikuu wameshiriki kuonyesha vipaji vyao katika msimu huu wa Coke Studio  kama wanavyoonekana  katika moja ya tamasha la Coke Studio.

-Wanafunzi na vijana mitaani waendelea kupata burudani

Onyesho la...

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA COKE STUDIO AFRICA WAFAANA DAR‏

Mwanamitindo Rio Paul (kulia) akiwa na rafiki zake muda mfupi baada ya uzinduzi wa msimu wa pili wa  Coke studio Africa, Hyatt Hotel, jijini dar es Salaam. Wanamuziki  Vanessa Mdee, Jo Makini na Shaa wakiwa katika picha ya pamoja kwenye 'red Carpet  wakati wa uzinduzi huo. Kutoka…

 

9 years ago

GPL

ALI KIBA NA VICTORIA KIMANI KUWASHA MOTO COKE STUDIO KESHO‏

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba (kulia) kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya. Wasanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya kesho Jumamosi watawasha moto katika onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds kila siku ya Jumamosi. Ali Kiba ambaye anatamba na kwa vibao vyake mbalimbali katika msimu huu wa Coke Studio amefanya Kolabo matata...

 

9 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI‏

Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma wa shule hiyo jinsi ya kutafuta taarifa za maarifa ya masomo ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA MAKETE WATAKIWA KUWA MFANO BORA KIELIMU NA KITABIA‏

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani) Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro Maktaba ya shule…

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

GPL

WANAFUNZI SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA SMART SCHOOL CHINI YA VODACOM FOUNDATION‏

Mwalimu wa somo la Kompyuta mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro akimfundisha somo la Kompyuta Ibrahim Athmani ambaye ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa shule hiyo,Walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart school unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani