Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jacob Zuma aapa kukabiliana na ghasia




Jacob Zuma
Rais Jacob Zuma amewatembelea watu walioathirika na ghasia hizo, mauwaji pamoja na kuibwa kwa mali zao huku akiahidi kukabiliana vilivyo na wimbi la mashambulio hayo.
Bwana Zuma alifutilia mbali ziara yake nchini Indonesia, ili kukabiliana na vurumai hizo zilizoanza majuma mawili yaliyopita.Amesema kuwa ghasia hizo ni kinyume na maadili ya taifa la Afrika kusini.Maafisa zaidi wa polisi wametumwa katika maeneo yenye mashambulio dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
Yamkini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JACOB ZUMA ALAZWA

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi yake. Taarifa hiyo ilisema kuwa Zuma atalazimika kumpumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu yake ya kitaifa akiwa nyumbani.
 “Hapo jana Ijumaa Rais Zuma alishauriwa kupumzika hasa...

 

11 years ago

BBC

Jacob Zuma in hospital for tests

South Africa's President Jacob Zuma is admitted to hospital for tests after doctors told him to to rest following "a demanding election".

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Jacob Zuma alazwa hospitalini

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa kiafya.

 

11 years ago

BBC

Jacob Zuma home after hospital tests

South Africa's President Jacob Zuma is back home after spending a night in hospital for tests, the presidency says.

 

11 years ago

BBCSwahili

ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o

Katibu mkuu wa ANC amepuuzilia mbali wito wa Rais Zuma kuondolewa mamlakani kwa kura ya wabunge au hata kujizulu baada ya kuhusishwa na ufisadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jacob Zuma aahirisha ziara ya Indonesia

Rais Jacob Zuma ameahirisha ziara yake ya ughaibuni kutokana na hali ya ghasia za kibaguzi dhidi ya wageni katika taifa lake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zuma ashtumu ghasia za ubaguzi A Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ameshutumu ghasia zilizopo nchini humo hivi sasa ambapo wahamiaji wageni wameshambuliwa.

 

11 years ago

Michuzi

wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo

Umati wa watu wa Afrika Kusini na wengine kutoka nchi mbali mbali,ukiwa nje ya Majengo ya Umoja yaliopo kwenye Mji wa Pritoria nchini humo,tayari kwa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini,Mh. Jacob Zuma inayoendelea kufanyika hivi sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani