Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zuma ashtumu ghasia za ubaguzi A Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ameshutumu ghasia zilizopo nchini humo hivi sasa ambapo wahamiaji wageni wameshambuliwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ghasia za ubaguzi zapingwa Afrika Kusini

Maelfu ya raia katika mji wa mashariki wa Durban nchini Afrika Kusini wanaandamana kupinga ghasia za hivi majuzi dhidi ya wageni.

 

10 years ago

GPL

AFRIKA KUSINI WAFANYA MAANDAMANO KUPINGA GHASIA ZA UBAGUZI

Waandamanaji wakipinga ghasia za kibaguzi dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini. Raia aliyejeruhiwa kutokana na ghasia dhidi ya raia wa kiwageni Afrika Kusini. Maelfu ya raia katika Mji wa Mashariki wa Durban nchini Afrika Kusini wanafanya maandamano kupinga ghasia za hivi majuzi dhidi ya raia wa wageni. Takriban watu watano wameuawa tangu wiki iliopita katika ghasia dhidi ya raia wa wageni kwa kile kilichodaiwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu ashtumu ubaguzi Israeli

Benjamin Netanyahu ameelezea mshangao wake binafsi kwa mwanajeshi wa Israeli wa asili ya Ethiopia ambaye alipigwa na polisi wa Israeli

 

10 years ago

Vijimambo

Jacob Zuma aapa kukabiliana na ghasia




Jacob Zuma
Rais Jacob Zuma amewatembelea watu walioathirika na ghasia hizo, mauwaji pamoja na kuibwa kwa mali zao huku akiahidi kukabiliana vilivyo na wimbi la mashambulio hayo.
Bwana Zuma alifutilia mbali ziara yake nchini Indonesia, ili kukabiliana na vurumai hizo zilizoanza majuma mawili yaliyopita.Amesema kuwa ghasia hizo ni kinyume na maadili ya taifa la Afrika kusini.Maafisa zaidi wa polisi wametumwa katika maeneo yenye mashambulio dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
Yamkini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi kutuliza ghasia Afrika kusini

Waziri wa ulinzi nchini Africa kusini ametangaza kuwa jeshi litatumwa kutuliza ghasia ambazo zimesababisha vifo vya watu 7.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga ubaguzi Afrika Kusini

Maelfu ya raia wa Afrika Kusini wanaandamana kupinga wimbi la visa vya hivi majuzi vya mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wazimbabwe wapinga ubaguzi Afrika kusini

Wazimbambwe wameandamana nje ya ubalozi wa Afrika Kusini, Harare wakitaka kusitishwa kwa mashambulizi dhidi ya wahamiaji A kusini

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanawe Rais Zuma hatiani Afrika Kusini

Jopo moja nchini Afrika Kusini limegundua kuwa mwanawe Jacob Zuma hakua makini hadi kusababisha ajali ya barabarani ambapo mwanamke mmoja alifariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani